Xsinner- Natamani Lyrics
Verse 1
Natamani niitwe mwana wake wee,
Lakini shida ni dhambi nyingi kwangu weee,
Natazama ile karamu kwa umbali wee
Huku niliko mateso chungu nzima wee
Natamani nivuke ng’ambo ile wee,
Nipige magoti kwake anisamehe wee,
Ni mwenye huruma, tena wingi wa rehema
Aniokoe, niitwe former sinner
Banirudisha ocha, banisafisha poa, dhambi banitoa, nisiwe madoa doa.
Chorus 1
Amenifanya niishi (Niishi) ,
amenifanya niishi(Niishi),
amenifanya niishi(Niishi),
Amenifanya niishi,
Amenifanya niishi ,
Amenifanya niishi.
Verse 2
Mungu wa karibu,, kanitia adabu, Amefanya maajabu ,kutoa X-sinner kwa klabu,
Nimeenda kwa waganga wengi wee,
Kutafuta kazi nimekosa kazi bana weee,
Kumbe mganga mwenyewe hana kazi wee,
Ananipora alishe familia weee,
Akusanya kila kitu changu weee,
Hata mashilingi narudi bila fare wee,
Chorus 2
Mimi nikimbilie nani wee ?
Mimi nikimbilie nani wee ?
Mimi nikimbilie nani wee ?
Mimi nikimbilie nani wee ?
Verse 3
Nitafute ufalme wake Mungu weee,
Hayo mengine nitayapata mimi wee,
Anipe mabawa, nitoke kwenye mabaya,
Nivuke ng’ambo niweze kufanya mambo
Banifuta machozi, nikaacha kulia,
Banitoa kushoto, baniweka mimi kulia
Chorus 1
Amenifanya niishi (Niishi) ,
amenifanya niishi(Niishi),
amenifanya niishi(Niishi),
Amenifanya niishi,
Amenifanya niishi,
Amenifanya niishi.
Post Views: 166