Sauti Sol – Shake Yo Bam Bam Lyrics

Follow the music and I’ll take you there
Je veux danser mama
Ongayo ngayo ngayo ngayo mama Take you down town to disco
Chini kwa chini kiuno
You’re my re my desire nakupenda
I wanna see the ladies lose control
So turn around give it to me, give it to me baby passionately
Nalingio mama wamanya ndakhuyanza you’re my re my desire nakupenda

Chorus
Shake yo bam bam kwenda sukuma …
Kaa rada, karau wanapita na bash imeshika na drinks zamwagika kaa rada

Samba ni ku samba, samba ni kusamba

Ju madame wa mtaa wanapenda chapaa na machali wa mtaa wanapenda kuchana sa unapata mabudah wanasare mamatha na mamatha wa mtaa wanakwata vijana
Oh Africa Africa nakuombea watoto wako wasizidi kupotea urembo wako usizidi kudidimia
Nalingio mama wamanya ndakhuyanza youre my re my desire nakupenda

Chorus

Tagged

You cannot copy content of this page