Nonini ft. Jua Cali – Wee Kamu Remix Lyrics
Intro(Nonini)
Calif, genge remix!
watu wa kenya wana tabia mbaya,
Nonini ana tabia mbaya,
Jua Cali ana tabia mbaya!
Verse 1 (Nonini)
bado home leo utanipata, sitatoka,
hi ni remx yangu ya kwanza na nina hope imetoka,
nimekuwa kwa keja tu niki pika niki kushugulikia.
ngoma yako wee kamu siunaiskia,
vile iko poa jako yako na trao kila kitu toa,
kuna siri yoyote unaeza like kuniambia toboa.
ushaiguzwa mahali ukaskia ku-kohoa leo mi na we au sio poa poa.
umesahau home ambia ule concodi ata kudondoa,
kwetu hapo inje na gate si ya blue,
kuna style mpya, ebu kwanza inua mguu juu!
ntainua polepole jo sababu minashuku,
shingo yako konda inaeza vunjika ka ya kuku.
naika chemshwa jo na wasee wakunywe supuu.
Naeza tembea kwa chupa zimevunjika mguu tupu,
niji fanya sugu sabu yako tu,sabu yako tu!
Chorus (Nonini)
leo niko kwa keja(sabu yako tu),
sitoki hapa(sabu yako tu)
kwa hivyo ukitaka
we we we we kamu!
leo niko kwa keja(sabu yako tu),
sitoki hapa(sabu yako tu)
kwa hivyo ukitaka
we we we we kamu!
verse 2 (Nonini)
Jua Cali
Ushaichota mtoto kwa haga
(Jua Cali)
aa sijaichota mtoto wowote kwa haga,
lakini nakuambia jo,
hiyo ndio nime panga!
siku ka leo vile manzi yangu ana kuja kunicheki,
kabla aingie keja lazma ni make sure bado inaeza steady,
bado inaeza ingiza ata ka ame keti!
Kwanza zile tembe zangu za viagra vipi?
zime expire ama bado zko fiti?(ziko fiti).
zime tumiwa na mtu ama bado ziko chini ya ile kiti?(hii kiti!!) achana nazo ikifika atani pigia magoti nimbariki.
Na juala staki mtaani kuwe na mazishi!
kwahivyo we kamu, we kamu tu ongeze raha na watu kwa nchi!
bora leo unia chie tu nizame vimbichi,
bora leo uniachie nikushike hivi,
nikupeleke juu,nikupeleke juu mbaka utapike skuma wiki!
elephant run, ningeiskia mbaka kwa coach,
akule itakuwa ibidi!
unastuka nini bana hii ni remix tu!
ka we ni manzi nakungoja kwa keja, we kamu tu, we kamu!
Chorus (Nonini)
leo niko kwa keja(sabu yako tu),
sitoki hapa(sabu yako tu)
kwa hivyo ukitaka
we we we we kamu!
leo niko kwa keja(sabu yako tu),
sitoki hapa(sabu yako tu)
kwa hivyo ukitaka
we we we we kamu!
Verse 3 (Nonini)
kuna food poa hapa napika,
na usi vae jeanz ime kushika,
ju ya meza leo lazima utakatika,
bila kiti vile utafanya cheza kwa speaker!
na leo usikuja peke yako kuja na beshte zako,
leo nataka combi sikutaki we peke yako.
usi seme unaenda wapi staki noma na masako,
sema unenda laibu staki noma na budako,
anajua si ni ma beshte leo ni poa,
nikifunga mlango tu hivi nipate usha toa,
una kumba ile chakula nilikuambia,
haiyezi ngija, nitamu kwa ulimi na ukitake unaeza onja,
mdogo mdogo jo hajui inaeza kunyonga,
umejaza mingi kwa mdomo utashindwa kubonga,
tulia nikafungue mlango kuna mzungu ana ngoja,
anamoto jo ananiambia anataka ku to to to ka.
(Nonini)
nywele leo nimenyoa(sabu yako tu),
pia chini nimenyoa(sabu yako tu),
nimeoga baada ya wiki moja(sabu yako tu),
baby boy lazima atruka (we we we we kamu)
Juala nimenunua kibao(sabu yako tu),
mabeshte nime wa fkuza wakaenda kwao(sabu yako tu),
bed na keja zote ni safi(sabu yako tu),
pia nime fkuza gadafi(we we we we kamu)
***** pia nimenunua(sabu yako tu),
mbaka tenje nka omba(sabu yako tu),
tape za nyundo ni nazo(sabu yako tu),
sa fanya hivi(we we we we kamu) remix
endeleeni kuongea….. ha!
Chorus (Nonini)
leo niko kwa keja(sabu yako tu),
sitoki hapa(sabu yako tu)
kwa hivyo ukitaka
we we we we kamu!
leo niko kwa keja(sabu yako tu),
sitoki hapa(sabu yako tu)
kwa hivyo ukitaka
we we we we kamu!