Chorus
(Marya) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I need you
(Mustafa) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I love you
Verse 1 (Marya) amini nikikuambia mimi nakupenda kila wakati mimi naku-feel sana nikikuangalia pia naskia kulia story yangu ile mi uliskia na ile message ulisoma kwa simu mi sijui ilitoka wapi nadhani maadui wangu waliniseti mapenzi yetu yaishe kweli
Chorus
(Marya) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I need you
(Mustafa) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I love you
Verse 2 (Mustafa) amini nikikuambia I love you je t’aime uko na vitu mimi nazipenda sana nikikuangalia baby naskia kulia tabia yako kweli mi yanivutia na ile lipstick ulipata kwa shati yangu mi sijui ilitoka wapi nadhani maadui wangu waliniseti mapenzi yetu yaishe kweli
Chorus
(Marya) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I need you
(Mustafa) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I love you
Verse 3
(Mustafa) mapenzi yetu mi nataka tu yaendelee maishani tuwe sote niamini nikikuambia I love you niamini nikikuambia I need you
(Marya) mapenzi yetu mi nataka tu yaendelee maishani tuwe sote niamini nikikuambia I love you niamini nikikuambia I need you
Chorus
(Marya) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I need you
(Mustafa) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I love you
Post Views:424
You cannot copy content of this page
Javascript not detected. Javascript required for this site to function. Please enable it in your browser settings and refresh this page.