Mahatma, Nonini & Jua Cali – Mtu Saba Lyrics

Chorus
(Mahatma)

labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Nonini)
labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Jua Cali)
labda,
si ni wageni,
mtu saba

labda,
si ni wageni,
mtu saba

Verse 1 (Mahatma)
labda veve yangu ya leo ndio imenitupisha mbao
labda naandika hii ngoma na sijui mi ninayo
labda manzi yako pia hana habari na anayo
labda beste yako mmoja ashaipita nayo
labda alirudi pia alipatia mwalimu wao
labda mwalimu wao alipatia pia walimu wenzake
labda mmoja akarudi akapatia bibi yake
labda bibi yake alipita pia na mboch wake
labda mboch wake alipatia pia mtoto wake
labda mtoto wake aligawa kwa dereva na makanga wa namba nne
labda hesabu iliongezeka ikafika soo nne
labda mmoja wao ni manzi yako ule mwingine
ama tumerudi pale pale mahali tulianzia
ama wale wale jamaa tunapatana nao kwa njia
wengine wanahama
wengine wako tu base wamesimama
wengine wanatembea
wengine wako mlangoni kwa matatu wanabembea
wengine wanauza duka
wengine jana walikuwa mafala lakini leo wamestuka
wengine wanacheza mpira
wengine walikuwa na deni
na sasa wanafikiria kulipa
kuna buda flani alidedi zamani
aliuliza si ni wageni wa nani
kijana labda unaeza niambia
si ni wageni wale

Chorus
(Mahatma)

labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Nonini)
labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Jua Cali)
labda,
si ni wageni,
mtu saba

labda,
si ni wageni,
mtu saba

Verse 2 (Nonini)
si ni wageni wale kuja kwenu ka tumebebana
si ni wageni tukitoa njumu mapua mnazibana
si ni wageni wale huanza kula na mkono hatujanawa
si ni wageni wale hupita na mobile zenu mkikaa mbaya
si ni wageni wale ukituuliza ka tunataka chai
si ni wageni wale hujibu ndio na mkate na mayai
si ni wageni wale tukishika remote ma-channel tunazichokora
si ni wageni wale huchafua choo saa zote tukinyora
si ni wageni wale hukuja kwenu siku za bash pekee
si ni wageni wale hatukujangi kwenu ile siku mmepika sembe
si ni wageni wale hutokea poof! na hata hatukupiga simu
si ni wageni wale huchelewesha kwenyu mpaka saa sita usiku
si ni wageni wale huwacha kitu kubwa kwa choo mpaka ukijaribu
ku-flush mara ka thao bado haiendi
hii maneno ya ma-floater jo mi sipendi
si ni wageni hutokea siku ya harusi hatutokei siku ya mazishi
si ni wageni wale hukuja kwenu saa saba
na dishi ilikuwa imehesabiwa tu ya mtu saba
dishi ilikuwa imehesabiwa tu ya mtu saba

Chorus
(Mahatma)


labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Nonini)
labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Jua Cali)
labda,
si ni wageni,
mtu saba

labda,
si ni wageni,
mtu saba

Verse 3 (Jua Cali)
mtu saba ndio alikuwa kwenu juzi
mtu saba alipigia babako ngeta juzi
mtu saba alikataa kulipa kwa matatu jana
na hiyo matatu ingekuwa karao si waliitana
mtu saba alipigia manzi yako combi
mtu saba hapendi piga makofi
mtu saba wanataka kunirusha manzi yangu
na hao mtu saba ni ma-homo wanapigania haga yangu
na wengine saba wamechora saba kwa keja yangu
mtu saba pekee yake walikuja kwa ile show yako
na mtu saba bado alikataa kulipa kwa mlango
mtu zaidi ya saba wali-squeeze kwa gari kutoka kwa klabu
mtu saba kabati after hiyo gari ichotwe na matatu
mtu saba wanataka kuchoma kanisa yetu kesho
na wee ni mtu wa saba kufikia na mazee hivo hivo
mtu saba walifika Mount Kenya wakipalilia bhangi
walistuka vile waliniona kwa TV, kumbe ni mabeste wa mtaani
mtu saba, mtu saba, mtu saba
nilifuta story yao
sabu walikuwa wanasema mi si mkanda

Chorus
(Mahatma)

labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Nonini)
labda,
si ni wageni,
mtu saba
(Jua Cali)
labda,
si ni wageni,
mtu saba

labda,
si ni wageni,
mtu saba

You cannot copy content of this page