Ma3 – Haki yetu Lyrics

SONG LYRICS:
It’s the same old story
it’s the same old tale
it’s the same old worry
it’s the same old game
we are still fighting the same war
we are still crying out for more
oh haki yetu, the song on our lips
twalilia haki yetu, twatafuta haki yetu
twaishia haki yetu, twakufia haki yetu
twaimbia haki yetu, twaombea haki yetu
twasimamia haki yetu, twapigania haki yetu
heeeey, uuuuuu

Wanawake dunia nzima
wanalia haki yetu, wapigania uhuru wetu
wanalia haki yetu, vijana kwa wazee
wanalia haki yetu, jamani haki yetu
twapatikana wapi, twalilia haki yetu
twatafuta haki yetu, twaishia haki yetu
twakufia haki yetu, twaimbia haki yetu
twaombea haki yetu, twasimamia haki yetu
twapigania haki yetu, twalilia haki yetu
twatafuta haki yetu, twaishia haki yetu
twakufia haki yetu, twaimbia haki yetu
twaombea haki yetu, twasimamia haki yetu
twapigania haki yetu
oooohh… mmhh

It’s the same old story
it’s the same old tale
it’s the same old worry
it’s the same old game
we are still fighting the same war
we are still crying out for more
oh haki yetu, the song on our lips

You cannot copy content of this page