M4J feat Romeo – Mbali Lyrics

CHORUS LYRICS:
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali

VERSE 1 LYRICS:
Ningekuwa maji, singewahi kwisha
ningekuwa hewa, watu hawangekufa
ningekuwa manzi, singefanya abortion
na ningekuwa kifo, singewahi kuja
ningekuwa bomu, singewahi lipuka
ningekuwa mto, singewahi furika
ningekuwa mganga, saa hizi ningeokoka
ningekuwa baraka, ningeshika wote
Hizi dhambi zile tunafanya
zinafanya tuwe mbali na mwokozi
ningekuwa malaika ningewalinda usiku na mchana
We ndio taa inayong’aa kwa mitaa
Ukipitia watu wanaokoka masaa
lakini mi nashangaa kwanini Umenikataa
ju mi naona God ni kama Wewe Uko far
ka ni kuomba nimeomba inavyofaa
ka ni kufunga nimefunga inavyofaa
Usitie anga, Unipitie Baba
ju tamaa yangu ni kuwa Nawe kila saa
Songa karibu, Usiwe mbali nami
ili niguze, nipate baraka mingi

CHORUS LYRICS:
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali

VERSE 2 LYRICS:
Karibu na Wewe Mwokozi nasongea
maandiko dhibitisho kwa Wewe najionea
matatizo moyoni, makosa yanayokolea
sanaa ninapokea, Mbele Zako natokea
tumbo ninapiga, nareap Nawe Yawe
makosa nimefanya inafanya Uwe mbali
lakini Hubadiliki Wewe kwa kila ngali
makosa nakubali na tena siulizi swali
itabidi nimefast and pray, nimeget so close to the King everyday
itabidi nimekill the flesh, maisha finje finje nimekataa
Your’re the source of my life, Your’re the reason why I sing asking for Your love
You’re my sugar, You’re my sweety, You’re my number one Lord You’re my everything
kama Uko mbali mambo sio shwari, mimi msafiri na uchovu wa safari
secretary amenibook kwenda mbali, nitarelax kwa mistari kwa gari na habari
mi msanii, kilio cha jamii, nimeshatoka mimi toka mji wa Nabi

CHORUS LYRICS:
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali

VERSE 3 LYRICS:
Hapo kitambo ni mogoka kichuri na bangi
cheki jo vile macho zimegeuka rangi
nikaokoka nikaachana na dhambi
sitaki kuchomeka kama tambi ya stove
vile tuliambiwa na Juliani, love
ya Mungu hapa kwetu duniani ni mob
chunga usidanganywe na shetani, usilost
kutafuta nuru hapa gizani

CHORUS LYRICS:
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali
Baba ninaona uko mbali
Mungu wangu ninaona uko mbali
ni possible naona Uko mbali

You cannot copy content of this page