Sauti Sol – Disco Matanga Lyrics

Lyrics For Disco Matanga(yambakhana) By Sauti Sol Ft Sho Madjozi & Black Motion

Sho huh
Iyaaaa
[Sho Madjozi]
Sho Madjozi na Sauti Sol
Black Motion in the footage avande Sol
Ha Sho (yeah)
Iyaa, iyaaa
Sho Madjozi na Sauti Sol
Black Motion in the footage avande Sol
Iyaa, iyaaa
Iyaa, iyaaa
[Sauti Sol]
You refused school, go back to school
You refused to go to learn, go back to school
(Ulikataa maneno ya shule unaitwa urudi shule)
You refused school, go back to school
You refused to go to learn, go back to school
(Ulikataa maneno ya shule unaitwa urudi shule)
[Sho Madjozi]
Shida ya mimi na kachali kangu hatusomagi pamoja
Itabidi disco nifike nikihitaji kumuona
Utanikosa shuleni lakini kwa vitabu utanisoma
Hizi ngori mnashinda mkilete leo mtakoma
Disco matanga
Disco ma! Huwezi nikosa
Madjozi mjanja
Madjozi ma! Siwezi nikakosa
Disco matanga
Disco ma! Huwezi nikosa
Madjozi mjanja
Madjozi ma! Siwezi nikakosa
[Sauti Sol]
You refused school, go back to school
You refused to go to learn, go back to school
(Ulikataa maneno ya shule unaitwa urudi shule)
You refused school, go back to school
You refused to go to learn, go back to school
(Ulikataa maneno ya shule unaitwa urudi shule)

Read previous post:
Benjamin Dube – Mighty God Lyrics

Lyrics For Mighty God By Benjamin Dube Ft Vashawn Mitchell Refrain: Oh, how Great You are What a Mighty God...

Close