Lexx Kinyua – First love Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Umejua siri zangu na mi najua zako
so sad nilidhani mi ni wako
nielezee vile nitaendelea
coz all this time nilidhani mi ni wako baby
nakumbuka tukiwa shule ya msingi tuliandika love notes
kwenye desks tulizipass and
hatukujali teacher akizipost, hatungetenganishwa, tenganishwa baby
unakumbuka nikija kwenyu usiku
nakurukisha fence tunaenda disco
tulipatikana tukaahidiana, kwamba one time tutakuja oana
CHORUS LYRICS:
sasa itakuaje, nilipoenda kusoma Ulaya
we haukuningoja
sasa iweje umepata mwingine wa kuoa, hatukopamoja
thought you were my first and last love
tell me what happened to us
nilidhani you were my first and last love
kwangu mimi ulikuwa star
nimezima simu...
VERSE 2 LYRICS:
Of late, nilikuja straight kwenyu
majirani walisema ulihama
nika-decide nikucheki facebook
nikiingia on-line unago off-line
next time naona status ime-change
picha ime-change, ni ya watu wawili
na scroll down naona jina ime-change
nacheki kwa inbox, kweli ni wito shore
CHORUS LYRICS:
sasa itakuaje, nilipoenda kusoma Ulaya
we haukuningoja
sasa iweje umepata mwingine wa kuoa, hatukopamoja
thought you were my first and last love
tell me what happened to us
nilidhani you were my first and last love
kwangu mimi ulikuwa star
nimezima simu...
VERSE 3 LYRICS:
Baada ya wiki tulikutana huku mjini
nikipiga lap nawe ukipiga lap
ulinitaptap, na nika-look back
damn! Ulikuwa una-look fine
nilishangaa uliponiambia eti bado unanipenda
lakini chali yako anaona kama utaenda
ana-feel ni kama tutarudiana
eti tukiwasiliana atapoteza mchumba
CHORUS LYRICS:
sasa itakuaje, nilipoenda kusoma Ulaya
we haukuningoja
sasa iweje umepata mwingine wa kuoa, hatukopamoja
thought you were my first and last love
tell me what happened to us
nilidhani you were my first and last love
kwangu mimi ulikuwa star
nimezima simu...
Post Views: 217