Lady Bee, Shinde, Ray C, Reina, Joey & Mimmo – Mrembo Remix Lyrics
CHORUS LYRICS (Lady Bee)
ayayaiyaa
sio kosa langu mimi kuwa mrembo
ayayaiyaa
ni mipango yake mola ndio alonipa na upendo
ayayaiyaa
sio kosa langu mimi kuwa mrembo
ayayaiyaa
ni mipango yake mola ndio alonipa na upendo
VERSE 1 LYRICS (Shinde)
Ukijiangalia
kwa kioo
jiangalie na u…
jiamini kuwa
kuwa wewe ni mrembo
ni ukweli na
si uwongo
(Ray C)
naamka kila siku nashukuru vile najiona
navutiwa na kila kitu nilichopewa na Mola
kioo changu pembeni
makeup zangu mezani
sio kosa langu kuwa mrembo
that is why I say
CHORUS LYRICS (Lady Bee)
ayayaiyaa
sio kosa langu mimi kuwa mrembo
ayayaiyaa
ni mipango yake mola ndio alonipa na upendo
ayayaiyaa
sio kosa langu mimi kuwa mrembo
ayayaiyaa
ni mipango yake mola ndio alonipa na upendo
VERSE 2 LYRICS (Reina)
when you look at me, look at me
tell me tell me what you see
if this ain’t beauty
tell me what it is
I’m proud of who I am
standing tall and strong
all that I am
I’m grateful to God
(Joey)
I know you see me now, I’m that diva
female definition of a… a hustler
yet I’m G. double-O D. homie how I be
so when I step to you I better know that you good
with my B.E.A.U.T.Y
and if you, got to stare at them goods why lie?
appreciate or, don’t hate
it’s Joey and my girls on the mic, first rate
(Mimmo)
baby, baby ooh
mbona unawa…
sikiliza
hao, hao
uwe mwembamba
mnene, mweupe
uwe mweusi
wee jipende kama mie
CHORUS LYRICS (Lady Bee)
ayayaiyaa
sio kosa langu mimi kuwa mrembo
ayayaiyaa
ni mipango yake mola ndio alonipa na upendo
ayayaiyaa
sio kosa langu mimi kuwa mrembo
ayayaiyaa
ni mipango yake mola ndio alonipa na upendo