
Kwame feat Delpha – Hapo zamani Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Hapo zamani za kale
ulipo kuwa mdogo
Hapo zamani za kale mama kijijini
baba akanishauri, mwanangu wapende watu wote
ishi nao kwa amani, binadamu mtu ni matendo
CHORUS LYRICS:
Baba marehemu, atakama uliniaga
nasema asante…. ulinijali
asante… ulinifunza
asante… ulinipenda
VERSE 2 LYRICS:
Masikini usijiwatenga, lakini uwasaidie
kamwe usijepata kiburi, wafunze wadogo wako
mlinde mama mzazi, heshimu mkeo na watoto
neno yatafakari, nakutakia mema
CHORUS LYRICS:
Baba marehemu, atakama uliniaga
nasema asante…. ulinijali
asante… ulinifunza
asante… ulinipenda
Dunia ni duara…
VERSE 3 LYRICS:
Delpha:
Buda nakupa shukran, mawaidha nayakumbuka
ulinishow life si kamili kama sina wangu wife yani family
maswali nazi-foward kwa Mungu
siwezi pata answers kwa google
baba na-hold up the candle
hii maisha mi nitai-handle
North of Limpopo, South of Sahara
hakuna mwingine kama Wewe Baba
boy Wako best rapper
CHORUS LYRICS:
nasema asante…. ulinijali
asante… ulinifunza
asante… ulinipenda