Knar-na – Maisha Lyrics
Verse 1
Tafadhali naomba tuliza ukawa mkali,
usintupe mbali
Nakupenda, sasa we wa enda
Nakubali, nimekosa.
Pre-hook
Achana na wengine
Hii ni kati yetu
Sisi tu wawili.
Basi basi poa mama,
Tuliza dada.
Chorus
Haya maisha mama
Haya maisha mama
Hii ni maisha mama
Haya maisha ma
Hii ni maisha mama
Haya maisha ma.
Verse 2
Miaka nnee zimepita,
Tatu bila vita,
Kajenga ukuta siwezi kupita
Roho umeficha, yangu ya vunjika
Kweli hi hasara, mbona hii hasira
Pre Hook
Achana na wengine
Hii ni kati yetu
Sisi tu wawili.
Basi basi poa mama,
Tuliza dada.
Chorus
Haya maisha mama
Haya maisha mama
Hii ni maisha mama
Haya maisha ma
Hii ni maisha mama
Haya maisha ma.
Post Views: 143