Kleptomaniax – Maniax Anthem Lyrics

Chorus (Nakiri aka Nyashinski)
Now for maboys 
masista
wote mtaani kwenye pub kwenye bar kwenye club
make-ini noise
represent where you’re from 
sing along with a crazy voice

Now for maboys 
masista
wote mtaani kwenye pub kwenye bar kwenye club
make-ini noise
represent where you’re from 
sing along with a crazy voice

Verse 1 (Depicto aka Collo)
If you feel real high
if you feel real good
throw your hands in the air
represent your hood
say aah
say ooh
tingisha hizo vitu (kichakacha)
tingisha zaidi mpaka watacheka (hahaha)
Nakiri Munkiri Depicto waki-drop the lyrics 
moyo wako itapiga ile mdundo (wadada)
sikiliza basi wasee mimi si wasiwasi
kushika manzi fancy Nancy Beyonce hata Mercy
kukamata makasi basi wacha nafasi wazi 
niweze kupata the rhythm of the Pharisee family
jina ni Depicto 
rusha rusha mikono zenu hewani, hewani
na ukitaka ku-discover vile tunawakilisha uliza O.G.O.P.A DJs

Chorus (Nakiri aka Nyashinski)
Now for maboys 
masister
wote mtaani kwenye pub kwenye bar kwenye club
make-ini noise
represent where you’re from 
sing along with a crazy voice

Verse 2 (Munkiri aka Roba)
mabibi na mabwana songa kando kabisa
niweze kuangusha
the greatest, the illest
rap expedition ever known to the entire universe
Kleptomaniax tumefika
ruka ruka juu ka unaskia zimeshika
sababu Pharisee tukiwakilisha kwenye dance floor
kila mtu hana budi kukatika
kukatika, 
na kujazika
now acha Munkiri ili niweze kuharibu
nikupe M.I.X mpaka usonge karibu
kwenye speaker
na rhymes zikitoka ka miujiza
Ogopa DJs
wanang’ara kwenye giza
sing along
to the anthem here it goes
Klepto
sing along
to the anthem here it goes

Chorus (Nakiri aka Nyashinski)
Now for maboys 
masista
wote mtaani kwenye pub kwenye bar kwenye club
make-ini noise
represent where you’re from 
sing along with a crazy voice

Now for maboys 
masista
wote mtaani kwenye pub kwenye bar kwenye club
make-ini noise
represent where you’re from 
sing along with a crazy voice

Verse 3 (Nakiri aka Nyashinski)
ka unapenda Nakiri wee sema my
if you feel high sema walai
ka unapenda Nakiri wee sema my
kila wakati wakilisha sema Hi!
haya tufike usukani kama tumechanua 
zetu afro na mikono zetu
zimeshika ma-AFCO
wakati nipe niwaburudishe na ngoma 
niwarudishe mwaka tisini na tisa
kabisa
na ngoma tulianza kubatiza
warogaji wachache wali-rise from the giza
tuliza iza skiza tunaeneza
moto tuliwasha bado unateketeza
nitazidi kubariki, watazidi kufariki
itabidi juu Pharisee family tumewasili
tayarisha akili tunawapima ka ratili
Kiswahili
bado tunazidi kuhubiri
wakilisha utokako
tingisheni viuno
na ka zimeku-capture
sasa basi wika Klepto

niko na swali
kwa wasee wa mtaa
wadhii niaje
mnanyamaza
tukiwashika mshikike kwa nini msikatike mikrofoni tukikamata
niko na swali
kwa wasee wa mtaa
wadhii niaje
mnanyamaza
tukiwashika mshikike kwa nini msikatike mikrofoni tukikamata

Chorus (Nakiri aka Nyashinski)
Now for maboys 
masista
wote mtaani kwenye pub kwenye bar kwenye club
make-ini noise
represent where you’re from 
sing along with a crazy voice

You cannot copy content of this page