Kleptomaniax – Bado Niko Lyrics
Intro (Nakiri aka Nyashinski)
ka si noma ni noma sana
Klepto
music please
music please
Chorus
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
Verse 1 (Nakiri aka Nyashinski)
wana chuki washaniudhi
mambo sa ni kuji-
panga vile tutawasha hii ganja bila udi
sue me, taxi ni mogoka na kichuri
nikiwa steam naanza kuropokwa na sijui
ndani ya club sorora the rap sorcerer
ni ngumu kunipata ka ndani ya cab chokora
na-flow proper sa nishakuwa m-sweet
ka mnazi acha choco bar
ma-tabloid zishanibo
ukitaka utaamini kenye ulisoma kwa Pulse eti Nyash alikuwa Carnivore
na dame flani picha kwa gazeti ni ya zamani
mi nilikuwa mtaani naseti majani
bado niko wadhii
bado najulikana wee odyssey
Ronga, Sivo na si
extraordinary
nina right of way
mkikuyu akiniskia atasema gacu wee
oh man, na si macho ni more than, organ ya kuona
mi ndio captain uliza Morgan
slogan ni pona ata kabla ukuwe mgonjwa
shotgun kwa korna na ni pesa nangoja
Chorus
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
Verse 2 (Depicto aka Collo)
kwa mara nyingine ni yule MC mfupi kama rungu ya Moi
mtukufu mfalme wa rap najifunga kikoi
mfupi kama chupa nakupa mistari mirefu
mistari za kuambatanisha ni nani mkosefu
kati ya
fake MCs na mimi nawapa mapya
suti juu chini mweusi niite mafia
puff ya
kiki juu yake nipate afya
njema nasema nikitema nikiwa courteous
mwenye wivu asijinyonge, mi ndio namnyonga
na mistari polepole ka kobe, la? kinyonga
nusu sanamu nusu mnyama na binadamu
nusu kitu kali ongeza chumvi kisha kitu tamu
wapende wasipende bado niko
nina muktadha wa kuchambua mchambuliko
mchanganyiko na halakati ni mistari tu
matamshi ya hali ya juu uliza Talib atasema Kweli
D.E.P ye hashikiki
pande wa kulia Munkiri kushoto Shinsky
hiki ni kizazi cha Klepto mabadiliko
wenye wivu wapende wasipende wakwende bado niko
Chorus
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
Verse 3 (Munkiri aka Roba)
mimi bado niko mi Munkiri ni hatari
na si swali
toroka songa mbali
fimbo yangu mic manze mzee chunga maslahi
niaje unanipinga mi ni Musa ama Msinai
mi huwanga na sumu ndani ya saliva
niki-spit naenda deep kama deep sea diver
namaliza ma-canniver…
namaliza ma-canniver
haya, haya
haya twende basi
twende kazi,
mziki ya hii kizazi
kipya
hakuna kitu ingine utasikia this year
juu ni M4E pekee
tuendelee ama tusiendelee
yeah, yeah na masengenyo ni mingi
zidi kuongea bro I don’t care
long as club ina-run from the front to the rear
na since message iko clear
signing out ni Munkiri
the rap shark attack
Chorus
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)
e-yo wapende wasipende (mimi bado niko)
na hata wakinichukia (mimi bado niko)
I’m never gon’ stay down (mimi bado niko)
juu mimi bado nini (mimi bado niko)