Kitu Sewer feat Mc Mutant – Iko haiko Lyrics
CHORUS LYRICS:
Iko haiko, I really wanna know
niambie kama iko haiko
I really wanna know niambie kama iko haiko
I really wanna know, I really wanna know…
VERSE 1 LYRICS:
Face inavuliwa mask, race kubaguliwa ki STL
ni so 1930s, cheaques kupakuliwa na the same mkono utauliwa nayo
mi si ile type ya kukesha tukilewa, tukiwa gage kupindukiwa na kaukesha
na wamekaukiwa kesho yake reality check kurarukiwa
na project ka Kitu Sewer the point itakuwa rare sana kurarukiwa
rush na mvua usinipee rasharasha meno hatujaundwa na manol
jiongee siezi jua nia, au nini unafikiria
kasheshe tu partial pass kahashio, freeze kwa kabla kahaba
angalia vitu na paspective za unusual suspect yani
spects zimevunjika, ishaanza kuwa ka tabarnacle
watu wanajiona na ma turban na maknuckle
chafua ka exhaust carbon, rudi mtaani piga lap na mabubble
hideout, kwenye cave na ma kaavu, kupiga ma hesabu
kufwata viatu si rahisi tulisox Nyayo
hakuna damu hakuna fingure prints hakuna victim wa kulala kwa sakafu
naskiza stuff ya mastaafu, si ni wastaarabu, usikae na wasiwasi
nikaa ulipata nyoka ndani ukienda kuvaa gumboot
crack mayai zote kwa kikapu lakini hawakuescape ambush
sector za vako, show maa’ venye mtaa network unatumia time nyingi kujaza cross word
na imeundwa na guess work, pay slip ju hao hutulipa kulala kesha ukisaka ganji
food chain imeturn majamaa manure, check chakula, nusa, change, chagua ingine
saa hii ndio hii, hii ndio s**t, next ni sewer back to maji ya kunywa, hivyo ndio iko
CHORUS LYRICS:
Iko haiko, I really wanna know
niambie kama iko haiko
I really wanna know niambie kama iko haiko
I really wanna know, I really wanna know…
VERSE 2 LYRICS:
Glaton hushiba ile iko sufuriani mse mgreedy hunyongwa na ile iko kwa sahani
ukiwa mstinji, utakosa honey, ubaki umejipuli, ju huwezi box punani
fact fashion bado kidogo avae socks kichwani
kwa socks nina kichwani, mogoks kiplani
thoughts za doh kichwani ka dundruff, meditation za sonko bankrupt
motivation from ketepa, fegi na puff za ndom
ni avoid life ya uthegi handkuffs kwa crom
tangu anti-terror waskie am the bomb, wananitafuta ka Fazul
raundi hii ni cold war na mistari zangu cool
si lazima upate zero ndio uitwe fool, au upigiwe kengele ndio ujue ukiwa alive tuko school
niiteni Maruge coz niko old kwa hii school ya hiphop
najua nikisema hivyo, hawa mafarasi watanifanya crystal
kuna wase wengine huwaga wanaflos ka peakock, swali mi hujiuliza, kwani huaga wanapick c**k
mic kwangu ni weapon, leathol, kushinda ya kalash ni kov
economic status at the moment haikuruhusu uniflash nikukol
VERSE 3 LYRICS:
yo! Natumbukia nyongo utajiri ka maskini Congo
vita juu ya mawe miti sote udongo sote ubongo
upload before uiuploud ujue kila c**k ina crown
hakuna sura haiwezi frown, mchwa bila palace, paplace
ata ka umezungukwa na mapapaya za surface
mtaa ngori ju tumeiwekea saa fence
kuzaa ni offence, kimya ni offence, noice ni off head
jela, ukipatikana na mavedi, kupiga chuom ju shadow ni madeni
kupoteza mali kwa kina Anasa sana, njia kunaswa
kaza rasa ju kukuharass rahisi kama rais sisi
mikiki mikiki hadi Jumaa ndio nature, life treasure, uzee tape ndio measure
usimezeshee chenye huwezi share kwa meza, ulete zile za Mambo Mbotela
naleta Libya Kenya, unalipya ukigenya, nyuma ya closet juu ya manani ni siri ya turban
Yo!
CHORUS LYRICS:
Iko haiko, I really wanna know
niambie kama iko haiko
I really wanna know niambie kama iko haiko
I really wanna know, I really wanna know…