Kinondoni Revival Choir – Mshukuruni Bwana Lyrics
Verse 1
Yawezekana umezungukwa na mateso,
Yawezekana pande zote ume udhika,
Yawezekana pengine walala njaa,
Yawezekana ukoo na ndugu wamekutenga,
Pamoja nayo yote nini yatakayo tenga na Mungu,
Kumbuka Paula na Sila walipotupwa gerezani, walimtukuza mungu milango ya gereza ikafunguka,
Ata nawe leo, mshukuru Mungu kwa hayo yote, ata nawe mtukuze Mungu kwa hayo yote,
Chorus
Mshukuruni Bwana kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Tualihimidi jina lako leo baba, heshima, utukufu zote ni zako leo Bwana,

Verse2
Tumpeni bwana utukufu wake, tuabuduni bwana kwa uzuri wake,
aliye kausha bahari ya shamu, Israeli wote wakaokoka,
tumpeni bwana utukufu wake, tuabuduni bwana kwa uzuri wake,
aliyekausha bahari ya shamu, Israeli wote wakaokoka,
aliwapa maji katika mwamba, kawapa chakula kwa miujiza,
aliwapa maji katika mwamba, kawapa chakula kwa miujiza,
Chorus
Mshukuruni Bwana kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Tualihimidi jina lako leo baba, heshima, utukufu zote ni zako leo Bwana,
Mshukuruni Bwana kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Tualihimidi jina lako leo baba, heshima, utukufu zote ni zako leo Bwana,
Verse 3
Mungu mwenye enzi, tuna kuabudu,miujiza yako ni ya ajabu,
Ulimtumia naye Daudi kwa kambeo kamua Goliadhi,
Mungu mwenye enzi, tuna kuabudu,miujiza yako ni ya ajabu,
Ulimuhifadhi naye Danieli, samba wenye njaa hawakumdhuru,
Ndio maana baba tuakubudu, tuna kuhimidi ubarikiwe,
Ndio maana baba tuakubudu, tuna kuhimidi ubarikiwe,
Chorus
Mshukuruni Bwana kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Tualihimidi jina lako leo baba, heshima, utukufu zote ni zako leo Bwana,
Mshukuruni Bwana kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Tualihimidi jina lako leo baba, heshima, utukufu zote ni zako leo Bwana,
Asante Yesu kwa wema wako, kama si wewe tungekua wapi,

Post Views: 991