Kilio – I want to know Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
Nazidi saka majibu za, zangu maswali ka, mlevi kwenye
hepi na madeni za kushangaza, hili life nina-live sio
free, nita-seize ku-breath so easily niki-speed, hii si
DVD, ni rewind hii CD, remind me please, usi-mind yangu
CV, ukinicheki kwenye TV, unadhani yangu maishi easy,
kutumbuiza yako feeling, ndio naimba hivi, niki-walk
kwenye streets niki-talk, niko lost kwenye thought,
nina-knock kwenye door, ina lock, nisipopata key
nita-drop kwenye floor, lakini so strong still hoping,
machozi nitavuta nikifika road crossing, so hii poss ni,
ya kuficha yangu chozi, najua Boss ni, Mola wangu so
majonzi, yatasizi kwani hili ombi ni Balozi.

CHORUS LYRICS:
I want to know
nasema nataka jua…

VERSE 2 LYRICS:
Yangu mic nilioa, kwa hivyo line nikitoa, usidhani
natoboa siri za mine kwa hii ndoa, half the time, hizi
lines naandika ni ma-lie, aki walai, at times naona aibu
niki-rhyme, ina maana kwenye video basi siko vile
nilivyo hivi ndivyo mimi nilivyo yangu maisha kabla
kifo, na nisipo, tumbukiza kalamu kwenye wino, mie
binadamu damu mwaga kwenye hino, karatasi kupasi,
hadithi kwenye versi, kuandika kisha kutapika mistari
kiasi, hizi chupa ninatupa, kwa ukuta kuzivunja, hasira
kulisha napisha dhiki kwenye nyumba, but still
nina-smile ninafurahi kuwa hai itaja time nita-die
na-waza nani ata-cry, na-take to the beat, ni-confess
zangu sins, possibly, nita-free, what I hid, deep
within. Let’s see.

CHORUS LYRICS:
I want to know
nasema nataka jua…

VERSE 3 LYRICS:
Ninatema kwenye mic chenye na feel, labda nita-find
chenye mind inai-conceal, and still nina-try, kujaribu
kubaki kwenye line, lakini kila time najipata na-rewind,
to the me I used to be, honestly I’m trynna be, a better
me, never thought I’d ever cross over to see, nafsi
yangu ndani ya mirror sura yangu kujificha kwenye jina
siri zangu akilini kunifinya, so na seek, njia ya
ku-reach to the peak, kama Moses ni possess magic stick,
nione, lyrical prowess to the beat, lakini always more
stress kunibit, nimetii, lakini nita-rise to defeat, na
feel ni kama nina kamba tied to my feet, nimeshapanga
yangu njama ya kuji-free, tutapatana ndani ya Hummer
niko kwenye free, family.

You cannot copy content of this page