Kilio – Sanaa Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Juu begani ni medali, ninavyo ipenda hip hop ata kifo
kututenga itahitaji army, kupata mi ni Jenerali,
kutapika mistari hii, basi taji ni, yangu nani,
atashindana na mi, anayo uzito gani kwa mizani za Nai,
aje simama nami kwa sanaa ya usanii, anayo flow ya lami
ama flow ni kama hii, hili Kambi liwe family, unadhani
eti si, kutema kwenye hii, M.I.C, basi usanii easy, hili
si, rahisi unavyodhani kama si, kujipima huwezani tema
kanda au CD, utaweza kucheza na ma-rapper kwenye fani,
si kubeba mistari zenye ladha funny funny, haiwezekani,
kuleta upuzi wacha uzushi kwani, wadhani hatuna ujuzi we
kauzi songa mbali nasi, take a walk through the door
uta-know, ma-rapper bila flow hatusikizi anymore, basi
kanyaga floor shule ya msingi una-go, tuna-show, kwa
usingizi mziki zako zina-bore, anyway, vile napenya kwa
vina vya kati, wajinga hawapati, kunishika hizi nyakati,
ju sanaa nimevaa kama shati, nimo chini ya maji, bado
hawanishiki kwenye chati, ni masaa natupa kando makasi,
kipimo cha wakati, kipo ndani ya zangu nati,
tunavyong’aa ni mziki tumevaa inakaa tuko far na wale
pale jamaa, hizi mitaa siku hizi ziko na, wengi star ni
ma-wanabee rappers wamejaa.
CHORUS LYRICS:
[Soft beats playing]
VERSE 2 LYRICS:
Jina Kilio, tambua basi wewe ndio, kivuli hiyo, kwa jua
nifwate mbio mbio, kama sivyo ilivyo kwenye kioo, eleza
Kilio ulivyo hivyo kwa sikio, ina-show kwenye floor
nimesimama kama miti coz, nina mizizi mbili mbili ka
matiti so, nikikamua itabaki nawaua kwa mizani ju mi
huwa na mistari safi ka maua, ukinikunywa utabaki
kugundua, kwa jua pana mvua, na hivi ndivyo mimi huwa,
so niki-pass kumi na sita zangu bars kwenye verse kumi
marks wacha kusita discuss, haina wass, ju tangu mwaka
late 2-O-3, nimekuwa nikibwaga mic check 2.3, kwa age
2-3 nina hii, kipaji kwenye fani na si funny kwa wasanii
wa Nai, mi husali namna hii, una swali kwani hii, ni
darasa yangu rasa mnachungulia ya nini, ina maana mi
sifwati kamwe dini, ni Mola Ana tambua basi kwanini,
lakini Namthamini ata zaidi ya madini, inayometameta
ardhini ni yangu mwili, so ni
ki-take, hatua kama mbili ninajua ni kamili sina step za
kisirisiri.
CHORUS LYRICS:
[Soft beats playing]
VERSE 3 LYRICS:
Cheki vile, umesimama kama jiwe, ukitazama yangu shamba
mbona mi nisile, ukinipata kwenye Hummer mbona usilie,
wanigwara gwara kwa barabara niwachilie, na by the way,
nikikusanya yangu pay every single day nina-sing along
the way, pinda shingo it’s okay, dame itisha nina-pay
nikibisha naingiza no delay, navyosafisha kabisa, ata
kama ni giza ninapita, wala si ati shida yanitisha, so
use it, nzuri sana vibe hii ya music, I choose it, ndio
maana sitawai ku-abuse, if I lose it, basi ntakinai niwe
mchuzi, upuzi, ni ka kufunga mbuzi kwenye uzi, siwezi
ku-deny, ninafurahi kuwa hai, ndipo why, si lazima
nichome kaiii…ya, nitawa nina-smile niki-die, si lazma
nimange malaiii…ya, wasichana kwangu shida, simwagi
popote ju wanataka shika mimba, sauti kama ya simba,
sisemi chochote lakini pisha nikifika.