Kilio – Rap sanity Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
Songa vile nasonga hili ni beat, la kugonga hizi
streets, vile naroga nafanya Drogba ani-miss, na vile
naona, marapper watapiga corner wakiniona, imebaki
nimewasoma wakija tena aki ni noma, basi hii, itabeba
masela pande zote wela, possibly, kuleta mihela mashida
kupotea, energy, mithili ya stima ninayo, upimi ya mita
ni yao, usingizi, hipatikani kwa yangu ndani akilini,
sisingizi, kutema kali mate methali ni mi, mashindano,
kujidunga sindano sijiungi nao, nina ubao, kutafuta unga
wa ngano supu nayo, sugu hayo, tumejaza akili maarifa
kibao ,lazima nipate lishe, basi nyie mpatanishe,
ukilalia skio upishe ukaribie upate listen, nikija
kwenye giza utambue kuna nuru, ukijaribu ziba kichwa
kitajaa manundu, niki-bounce, ni jasho langu
na-announce, niki-pounce, basi mwanangu umekanyaga
kwangu mbona wass, skiza verse, nazidi kuponya mwili
kushinda nurse, uzito wa watu wawili kwangu mimi ni
karatas.

CHORUS LYRICS:
I Check my mic to the Rap sanity, and suddenly, the
whole world wraps to reality

VERSE 2 LYRICS:
Ukinisaka, kwa mziki utanipata, nywele kumea toka mizizi
ya Kalamashaka, hivi sasa , kama miti kwenye kichaka,
mimi Kili really hili flow nimekinata, miziki za, siku
hizi kwa sanaa, hazifikii za wasanii wa kitambo ni
matanga, nashangaa, upotovu wa akili, ngoma mbovu
kutubidi, kuandika zetu mistari ili tukiri, hawatoshi
weight kwenye mizani, na tume-wait every single day hapa
mezani kwa fani, ndio basi na-burst hizi ma-glass,
na-pass hizi ma-verse, haijalishi mavaz, past ama class,
tuko fast, kushindana haina maana twaja first, plus,
inaonekana hivi ni kama huna chance, miziki tutazidi
leta hivi more, na-feel ni kama hili ni msingi wa
ku-grow, so, itakubidi kuja slow ju kali flow ni nani
huyo bado ku-know show ni only for the raw?, nikiwa
naroga mic check two three, nilijiona pale kwa corner
next to three, Malaika, kwa jina Wakaniita sikusita mi
kuitika wakanipa hiki fupi kisa, eti Kilio, mi nikasema
ndio, nyinyi ndio, mwasababisha hiki kilio, zenyu ngoma
sio zinazoponya masikio kupoteza watoto dunia nzima na
watu wazima sio?, sa Boss anadai, mtii au mdai, na si
lie mta-cry jo walai, wasanii, mbona nyi, hamtambui hii
jamii ni family, twaomboleza fani hii, walipoyakamilisha
maneno wakajipisha kuniwacha nikishikanisha picha kwenye
kichwa, sa, inkaa inafaa lazima tuwache upuzi kwa sanaa,
tupate ujuzi tena kwa masaa, tuna-move na ma-chain kwa
miguu, uhuru ku-detain kwenye brain eti ju, tume-drain
nguvu zetu kwenye pain toka ukoloni sasa tuko lonely
kwenye rain.

You cannot copy content of this page