Kijito Choir – Hakuna Mungu kama wewe Lyrics
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Unaweza ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Wa neema ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Wa neema ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Hakuna mungu kama wewe kyala, a a,
Hakuna mungu kama wewe nguluvi, a a,
Wa Baraka ye ye, hakuna mungu kama wewe bwana,
Wa Baraka ye ye, hakuna mungu kama wewe bwana,
Hakuna mungu kama wewe katondo a a,
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Unaweza ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Wa neema ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Wa Upendo ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Sifa,sifa, sifa kwa yesu, Amen!
Sifa,sifa, sifa kwa yesu, Amen!
Sifa,sifa, sifa kwa yesu, Amen!
Bariki, Amen, Bariki, Amen, Bariki, Amen!
Kama unampenda Yesu sema, Amen,
Kama unampenda Yesu sema,Hallelujah!
Hakuna mungu kama wewe katondo a a,
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Unaweza ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Wa rehema ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Wa Uruma ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwan
Hakuna mungu kama wewe Mulungu a a,
Hakuna mungu kama wewe Yahwe, a a,
Unaweza ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Wa Baraka ye ye, hakuna Mungu kama wewe bwana,
Post Views: 643