Kidum – Safari Lyrics

Sikia hizo kelele, mbinguni washangalia,
safari ya wateule sasa,imefika,  kaaeni tayari,
Sikia hizo kelele, mbinguni washangalia,
safari ya wateule ,sasa,imefika,  kaaeni tayari,
sikia hizo kelele, kusini na kaskazini,
mashariki, magharibi kote,
waingoja parapanda,

safari ya wateule , safari,
safari ya ukombozi, safari,
simwendo wa gari moshi, safari
wala sio mwendo wa ndege,

ni safari ya kwenda mbinguni ni furuha, ya ajabu,
ni safari ya kwenda kwa baba, ni safari ya wateule,

sikia hizo kelele, kusini na kaskazini,
mashariki, magharibi kote,
waingoja parapanda,
ewe yesu ni tangaze, safari,
ili mimi niwe wake, safari
niandike jina langu, katika majina mengine,

yesu ,niongoze nifike salama, uzimani zayuni milele
niongoze nifike salama, uzimani zayuni milele
niongoze nifike salama, uzimani zayuni milele

ni safari ya kwenda mbinguni ni furuha, ya ajabu,
ni safari ya kwenda kwa baba, ni safari ya wateule,

safari ya wateule , safari,
safari ya ukombozi, safari,
simwendo wa gari moshi, safari
wala sio mwendo wa ndege,

ni safari ya kwenda mbinguni ni furuha, ya ajabu,
ni safari ya kwenda kwa baba, ni safari ya wateule,

ni safari ya kwenda mbinguni ni furuha, ya ajabu,
ni safari ya kwenda kwa baba, ni safari ya wateule,

You cannot copy content of this page