Kenzo – Hey you Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Imenibidi mimi niseme, ninyamaze nani aseme
mambo gani haya jamani? Wanaume tumezoea
mali ya mwenzio si yako, so wacha kunyemelea
kama ni yako, ni yako
na kama si yako, wachana nayo
CHORUS LYRICS:
Hey you, mi nasema nawe...
usiwe mwenye tamaa, mwenye tamaa...
mtaka vyote hukosa vyote, so tangaza msimamo
VERSE 2 LYRICS:
Ukona msichana wa kwako, na yeye ni mwaminifu
kazi yako kuchapa ilale, wajiita mwanaume
kama hujapanga kutulia, ya nini kuwapa moyo
kuwadanganya ovyo ovyo, mabeshte ninawaomba
kama wampenda, mwambie
na kama humpendi, mwambie
usije ukamvunja moyo
CHORUS LYRICS:
Hey you, mi nasema nawe...
usiwe mwenye tamaa, mwenye tamaa...
mtaka vyote hukosa vyote, so tangaza msimamo
Hey you, mi nasema nawe...
usiwe mwenye tamaa, mwenye tamaa...
mtaka vyote hukosa vyote, so tangaza msimamo
Post Views: 179