Kendi & Mejja – Mwanisema Lyrics
Chorus (Kendi)
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
Verse 1 (Kendi)
Najua ni kawaida watu kusemana
kwani si wa kwanza mimi nyinyi kunisema
nashukuru nakula nalala
natembea na pia navaa
Chorus (Kendi)
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
Verse 2 (Kendi)
nikipata mali mwanuna
nikifanikiwa mwazusha
hamufurahii maendeleo yangu
mwataka ni baki chini yenu tu
Chorus (Kendi)
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
Verse 3 (Mejja)
naskia siku hizi gazeti ya mtaani we ndio mwandishi
unajua vile tulishinda na kenye tulidishi
nikiongeza kilo nashindwa inakuumia nini
nikipunguza kilo nashindwa inakuashia nini
we ni wewe na mi ni mimi
si ni tofauti ka kizungu na kiswahili
tofauti kimwili tofauti kiakili
we fyata domo na uache kubonga mingi
unalaa na mishumaa na ukiendelea unayeyuka
juu unaangalia wengine na kwako kunalipuka
ukinisengenya jamaa hauskiagi aibu
unaona moto kwangu na kwako ni jivu
na vile umechapa vile umechakaa
we niondokee unafanya niskie kinyaa
Chorus (Kendi)
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema kunihusu
mbona mwajihusisha na yale hayawahusu
maneno mengi mwasemasema aaa