Kendi ft Alahola – Nimesotewa Lyrics
CHORUS LYRICS:
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
VERSE 1 LYRICS:
Niliwacha familia yangu ili mi nawe tuwe pamoja
nilidhani maisha yangu nawe itakuwa bora
designer clothes, life kwa beach
lakini wapi, lakini wapi
CHORUS LYRICS:
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
VERSE 2 LYRICS:
Ulinipumbaza na maneno na matendo ya uongo tu
na unaishi na mamako huna kazi ata huna kitu
uliposema we tajiri nilikuamini
lakini wapi, lakini wapi
CHORUS LYRICS:
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
VERSE 3 LYRICS:
Magari gani nilisema? Unanidhesha unadai nilisema
unanitega keja mi nilikueleza na sijakuudhisha wacha kunisononesha
nilikuseti ju ulikataa kutengeneza
ulipata mlevi, sindio ulimi uliteleza
ukajua kufunga loks, we nawe ni kama deni, unadai kunikopesha
si siri nakubali nilikuahidi, si nilikuchapia nitakubaia nguo ya krisi
lakini kutoka nikubaie ile kamisi, mi naona siku hizi umenichukua mrahisi
umesahau nilikuchocha, ugali sosa, nikiwa juu ya mamogoka
sa we juu ulikataa kutoboka nikakuchapia nitakubaia gorofa
CHORUS LYRICS:
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Gari kubwa ukasema, nyumba kubwa ulisema
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
lakini ziko wapi sasa, nimesotewa
Post Views: 154