Kelma & Roba – Songa Mbali Lyrics
Chorus
Songa, songa mbali nami, utanivunja,
Songa, Songa Mbali nami,
Songa mbali nami,
Songa songa mbali nami, sivunjiki,
Songa,songa mbali, nami!
Verse1
Have you ever imagined, what I feel,
So much pain, uchungu, is what you see!
Nimechoka, we are over,
Songa mbali nami, (songa, songa),
Nimechoka, we are over,
Sitaki,sitaki!
Chorus
Songa, songa mbali nami, (sikiza, sikiza, sikiza) utanivunja,
Songa, Songa Mbali nami, (elewa mami, Mami tu washike hapo)
Songa mbali nami,
Songa songa mbali nami, (sikiza, sikiza, kwanza)sivunjiki,
Songa, songa mbali, nami! (please relax, Don’t make decisions when you are mad)
Verse 2
Oh-no-no, you put me down, nime-enda na sitaki, sitatazama nyuma,
Nawe umejua, we umebaki umezubaa,
Songa mbali nami, sitaki sitaki,
Na we umeduaa, we umebaki umezubaa,
Songa mbali nami,
Sitoki,sitoki,sitaki,
Na we umeduaa, we umebaki umezubaa,
Songa mbali namiiii-ii!
Chorus
Songa, songa mbali nami, (sikiza, sikiza, sikiza) utanivunja,
Songa, Songa Mbali nami, (elewa mami, Mami tu washike hapo)
Songa mbali nami,
Songa songa mbali nami, (sikiza, sikiza, kwanza)sivunjiki,
Songa,songa mbali, nami! (please relax, Don’t make decisions when you are mad)
Verse 3
Skiza, sikiza ma, usikate simu, ngoja kwanza,
Wacha first nikushow vile ilianza, the whole truth ,mami bila ujanja,
Yes me nakubali nina makosa, trust me si ku kuplay nikitaka,
All in all ni wewe ndio na play, listen pia wewe ulicheza games,
Enough said, sitaki unidrive insane,
Uki hang up ni mwisho wa mapenzi,
Hallo,darn nime crazy,
Songa mbali nami, songa mbali nami
Chorus (till fade)
Songa, songa mbali nami, (sikiza, sikiza, sikiza) utanivunja,
Songa, Songa Mbali nami, (elewa mami, Mami tu washike hapo)
Songa mbali nami,
Songa songa mbali nami, (sikiza, sikiza, kwanza)sivunjiki,
Songa,songa mbali, nami! (please relax, Don’t make decisions when you are mad)
Songa, songa mbali nami, (sikiza, sikiza, sikiza) utanivunja,
Songa, Songa Mbali nami, (elewa mami, Mami tu washike hapo)
Songa mbali nami,
Songa songa mbali nami, (sikiza, sikiza, kwanza)sivunjiki,
Songa,songa mbali, nami! (please relax, Don’t make decisions when you are mad)
Post Views: 141