kamah (Kalamashaka) – Hasira ya mkizi Lyrics

VERSE LYRICS:
Na ukidai featuring unafichwa kama kamisi
mashairi yanasentensiwa kama Kamiti
Gaidi na mashtaka ya kumanga polisi
na hizi ngoma zinabamba hadi viziwi
zaidi zinaamshanga hadi mizimwi
Nazizi si uwaambie huku tension imezidi
kila siku July mse, giza baridi
ready to die ju hii story ni ka ile ya Biggie
migwinji sifichi teachings zangu zimetoka hadi bara na jiji
ambidhis waambie, hehe, nakuja vipinji
sitishiki simiminiki, skuma mawiki
pitisha kigode alafu nipige mawili
zishike wamorodho watingishe mamwili
si siri, hio story inatoa ile ya Kelly
lakini itakuaje ka inapoteza wakidi
ma-mini kwa kanisa zinaumiza waumini
kesi ni ya kondoo na hakimu ni fisi
Mwimbili hadi Madhare wazimu ni sisi
itabidi watuheshimu ju elimu ni TV
rahisi ku-appear kwa news next na rais
mkizi leta hasira, fuvya faidi.

You cannot copy content of this page