Kalamashaka – Moto Lyrics

Chorus
wacha moto uwake 
wacha moto uwapate
moto unaotoka ndani ya roho uwashangaze
MOTO… MOTO… MOTO…
revolution tutangaze

Verse 1
naongea kuhusu fire
ile iko similar na kaya
iko kwenye the entire ghetto youth
na uite Kalamashaka
kile Mungu amewabariki nayo ni talanta
moto unaoteketeza bila shaka
wengi wana-suffer
bado wanazidi kuangaza
hip hop, ghetto mashairi
mwaka ngiri na mbili
bado nawaambia mtafsiri
nipishe
ukweli niwakilishe
revolution nianzishe
niingize kila mtu kwenye Trojan Horse
tukavunje State House na bunge doors
mipaka za Afrika bila passport tuta-cross
mishoni ku-unite Afrika of course
tribal wars
tuchungue the source moto ituwezeshe kutoa watu
kwenye hii slave mentality cage
juu vitu lazima zi-change now
tuwache ku-bow down mbele ya ukoloni crown
watu wa kimaajabu 
watu wa kutoka enzi za babu
moto huwezi kupata hata kupitia vitabu

Chorus
wacha moto uwake 
wacha moto uwapate
moto unaotoka ndani ya roho uwashangaze
MOTO… MOTO… MOTO…
revolution tutangaze

Verse 2
e-yo nielezee nini walikuwa wana-discuss ikabidi waelekee
ile kutano ilikuwa Lancaster House huko chembehe yo na je
ni nani angekuwa wa kwanza ku-pass jina Harambee
ni Kimathi au mzee basi nani angefanya Malcom awe X
ni Waislamu ama CID basi
niendelee ama nisiendelee
yipee yayee
wangoso wanapenda Afrika tu
na Waafrika wanaenda majuu
iitwe Trans-Atlantic slave date ya karne ishirini na moja
ebu ngoja
asiyesikia la mkuu si ndio huyu amevunjika guu
juu ya hii pori
the harder the battle the sweeter the victory
you’ll be sorry 
najua hukuskia hii story
kafungue kitabu upate kujua juu ya history
Mau Mau
unataka taa yako iendelee kuwaka ama izime wakusahau
ukienda acha hii story
tuki-expand ka establishment za Aga Khan
Mau Mau na wakoloni panther na Ku Klux Klan Farah Khan
ameonyesha na finger ukoloni katembelea Sadaam
ukitaka kutengeneza omelette itabidi ukavunje mayai
unataka kupigania ukweli yet hujajitayarisha kupoteza uhai
mwenye atakuchai ni jamaa amevaa suti na amefunga tai
ni saka
mnachotaka mi nawapatia
moto haisahauliki kama pasaka kwa wakristo
baraka sina mi na…
taka baraka
kwenye kiti cha enzi
kutawala ndio nataka
skieni sauti yangu toka Kileleshwa hadi
Mathare, hebu nisare niashe vichwa nare
Oteraw ndio ratili inayopima akili
ya wasanii wasiokuwa na nguvu
one by one
na-challenge MCs line by line
Oteraw zangu zisha-mature na time ka wine
na-sip ‘toka cup ya shida
wee mwenyewe ushapotea utaanzaje kunipatia mawaidha
mi future nishachungulia
2050 kukikucha utanipata nimelala
makucha za vidole ya ule artist aligongwa
zinaingia kwa macho ya producer
nishanusa
harufu ya success na kusema life ni stress
na na stress, sijali
kama rap haitanipatia mali
utasikia forty two brothers siku hizi wako forty three
yeah yeah

Chorus
wacha moto uwake 
wacha moto uwapate
moto unaotoka ndani ya roho uwashangaze
MOTO… MOTO… MOTO…
revolution tutangaze

wacha moto uwake 
wacha moto uwapate
moto unaotoka ndani ya roho uwashangaze
MOTO… MOTO… MOTO…
revolution tutangaze

You cannot copy content of this page