Kajairo – 360 Lyrics

show me your ngotha na makwayapa
kama hazina jasho haujakatika
basi ruka teremuka unipe 360
vunja mifupa unipatie vipande
nataka viuno ziende wadada
nataka kiuno iende rapapa
nataka kuona mawadada
nataka kuziona zikitingika
zikikatika tutapatia daktari
zikipeperuka basi hiyo ni urogi
mambuyu mamatha wanakanyaga
masupuu vijana hebu kamata

perere pepe na mayaiya
hepi ni yetu naiekee kee
nikivunjika tutapatia daktari
nikipeperuka basi hiyo ni urogi
nataka viuno ziende wadada
nataka kiuno iende rapapa

hebu zungusha hizo matayata
hebu vuruga kihelikoyopta
kamata shika aliye karibu nawe
akinyetanyeta wee tafuta mwingine
walio na nguvu wako wasapi
walio na mioto wako wasapi
show me your ngotha na makwayapa
kama hazina jasho haujakatika
basi ruka teremuka unipe 360
vunja mifupa unipatie vipande
mambuyu mamatha wanakanyaga
masupuu vijana hebu kamata

perere pepe na mayaiya
hepi ni yetu naiekee kee
nikivunjika tutapatia daktari
nikipeperuka hiyo basi ni urogi
nataka viuno ziende wadada
nataka kiuno iende rapapa

perere pepe na mayaiya
hepi ni yetu naiekee kee
nikivunjika tutapatia daktari
nikipeperuka hiyo basi ni urogi
nataka viuno ziende wadada
nataka kiuno iende rapapa

perere pepe na mayaiya
hepi ni yetu naiekee kee
nikivunjika tutapatia daktari
nikipeperuka hiyo basi ni urogi
nataka viuno ziende wadada
nataka kiuno iende rapapa

You cannot copy content of this page