K –south – MR. Police man Lyrics

We are trying to get this recording deal, offer right now but it is hard to afford a meal,

But I don’t want to rob and steal,

Cops want to shoot me down but I am hard to kill,

They get happy when they blood, start to spill,

Try to live play my part and chill, like I have a story,

But before I start to tell, I am gonna give it to you in Swahili, oh for real

Ju mimi ni jamaa wa mtaa, ni vile tu njaa,

Nikitu, nimekataa, nina ile tamaa, ya kutafuta chapaa,

La sio mangaa,ni mambo jo,

Sikuhizi si ka kitambo jo,

Huku kumekua kudiambo jo,

Nyumba ina stima kando jo,

Anyway, mi nitavumilia, pesa itakuja kunitumikia,

Alafu nitakua nikiwangalia, mpaka mtakua mkiniangalia,

Ubaya hawa karau, wana nivamia, nikicheki nyuma wana nicomia,

Na hakuna kitu nime wafanyia, wanaona mi ni kiti wana nikalia,

Hausikii, moja wao akaniambia, we kijana umefanya hatia,

Sa , mambo gani unanipatia,

Mi nimetoka studio kujitafutia,

Sahi nimechoka, na taka kuishia, sa nini tena unanishikia?

Mlinichapa mbao, na kunichapa kofi!

Akasema, “ wewe kijana, mototo wa mdosi, ndio mufukoni pesa hukosi, mi nataka chai a majani, ka si hivyo utalala ndani!

una jua hiyo hatia umefanya ni gani? Kuranda randa town barabarani

mi nimetoka studio naenda nyumbani, na mi sima chai, sina majani

wewe kijana una tudanganya, unafikiri tuli zaliwa jana, ati uende nyumbani, hapana, leo kwa cell utajikazana

ai manze tafadhali bwana, mi mwenyewe nimetoka mbali bwana, kariobangi bwana, mambo ya jela mi sitakangi bwana

Mr. policeman!@#$&*$%!

Mr.policeman, ndio tumetoka kariobangi, iyo inamaanisha tume choma, ama tumetenda dhambi!

ati umetoka wapi, kariobangi

ati wapi, kuvuta bangi, macho zako zina toka rangi, kweli kijana umetenda dhambi

Hapana mimi sija lala tangu juzi, nimekua tu maveve na nyama ya mbuzi,

Na mimi sina mchuzi, jela sikuji, sina chapaa ya chai, si ukunywe uje,

“@#$%,@#$, ishonwe uzi”

Hakuna haja ya hiyo, tutaongea, sindio, yusisumbuane, tusaidiane,

Eeh, ndio, wazi manze, sindio, wacha niongee na rafiki yangu cherry,

O we inakaa tumeanguka kwa mtego, hawa karao wametuona na label,

Itabidi ucome hapa u nego, mi ni ki jam nita myonga na cable,

Ah, sare ma cable heri tu nego,

Waseti mitego, wanadhani si ni ma Barbie ju ya malabel,

kijana mnajua mmefanya hatia, kwanza toa mkono kwa mufuko, tua kofia , sawa nimetoa,

Basi poa, najaribu kujiokoa, zile nitatoa,

Niaje nani, niko na kuku, nyinyi mtaponea chupu chupu,

Basi leta tano kila mtu, ndio sisi pia tukunywe supu,

niaje ndugu, hii mambo ngumu,

“wapi kipande” wacha ni cheke, nimesare kwa sharti nilingara on Sunday,

Afande, bane ,usinihandem hiyo utaenda kusema huko rumande,

Niaje, manze ache niende, hapana kijana ngoja kwanza,

Ebu keti chini kama umesimama,

Ngoja kwanza, kuja hapa, Ebu keti chini kama umesimama,

Ngoja kwanza, kuja hapa, kwani nini nimewafanya bwana,

Funga mdomo, we nyamaza, usipo fanya tulivyo agana,

Leo mta imba imba kama vinanda,

Iko ingine, iko nini, kila kitu mimi, hata kipigo,

Ukanipiga tero juu mpaka chini, akanipate vitu za nare mbili,

Kijana mnajidai ati mko na akili, najua mme ficha kitu kwenye mwili,

Si nyi wawili mmetoka wapi,

Na hiyo bangi, ati mnavuta nini, ebu tema china,

Kuja hapa, keti chini, ebu tema chini,

Kuja hapa,

Mr. policeman, @#$%,!

Mr.police man its like you don’t understand! Do I look like a guilty man!

Mr.policeman, ndio tumetoka kariobangi, iyo inamaanisha tume choma, ama tumetenda dhambi!

Mambo  ya jela ndio mi sitakangi,

Mr.policeman, even if I don’t have dough, are you going to let me go?

Mr.police man its like you don’t understand! Do I look like a guilty man!

Mr.policeman, ndio tumetoka kariobangi, iyo inamaanisha tume choma, ama tumetenda dhambi!

Mambo  ya jela ndio mi sitakangi,

Mr.policeman, even if I don’t have dough, are you going ot let me go?

Mr.policeman, ndio tumetoka kariobangi, iyo inamaanisha tume choma, ama tumetenda dhambi!

Mambo  ya jela ndio mi sitakangi,

Mr.policeman, even if I don’t have dough, are you going to let me go?

You cannot copy content of this page