K-Rupt & K9 – Weekendi kwa Nani Lyrics

K-Rupt & K9 – Weekendi kwa Nani Lyrics

Intro
Yo it’s the K9 n K-Rupt
For two double O 3
Yeah baby

Chorus (K-Rupt)
Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

Verse 1 (K9)
wacha niwaalike wanati mababi
kejani kuna crate na mamanzi jamani
na wadhi wa maana kiplani kwa Mola shukrani
nina hamu ya kuchoreshea wadhi wa kwangu mpango flani
juu nyumbani haku bambi 
hatulali juu hakuna wazazi
basi kama maringo hupendi
na wee ni mtu wa kweli
kamateni makoti kwa knine kuna hepi
hatutaki wasee wana mashida kichwani 
wadhi wacheni mabibi nyumbani tafadhali
ni weekendi wakati hepi
wakati wa kuangusha virago mtaani
we are going to party so
make sure that you hold yo honey coz
ukiwacha vifunguo kwa ferari bana 
itabidi nimejipanga na gari bana

Chorus
Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma


Verse 2 (K-Rupt)
Tulianza na south C kisha Nairobi West
Sasa nimepata mpango freshi kwengine
Route 11 cargo hadi kwa Kenini mabale Vipi
Kwachu tikiti ya Vip(i)
Yuko wapi Yule manzi mwenye rangi ya udhurungi
Na nimtamu ka shubiri
I can see you, I wanna b with you
Is it in b- side that Im lucky to bump into you
That’s it!

Chorus 
Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

Verse 3 (K9)
Ni ijumaa weekend, siezi nikangoja
Hoja ni west na ni kitu saa moja 
Juu ni lazima tukamate sigara na njiti za kwanza
Kirende ni jeshi wadhi wa freshi
Ju maringo hatupendi
Hewa provided by eastside entertainment location ni b-side
Lakini kabla hatuja anza kuchana tutie ndani tusije tukawacha

(K-Rupt)
We’re making this international 
K.E.N.Y.A and Bongo
Blending voices no noises
Bringing no nonsense
In a party making it a blast for them audience
Basi mujipige mavazi kibambe 
Mabinti bangili heri ni pale 
And make sure your looking fly for the Saturday 
Kisha tukutane kule bila swali


Chorus
Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

Mabeste niaje weekend kwa nani
na mutapata mamanzi wapi
si hoja keroro na ngoma ya tosha 
keja imeshona vinoma

You cannot copy content of this page