K Force – Saluti Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
ka tumbo imeshiba, maisha ina shida
cheki bila uoga ni sarakasi na vituko
mitaani, saa ngapi, marapa wanapanic
kwa party wanatutafuta hawatupati
VIP pekee niko, ama kwa warosho
na mresh nanyorosha
gere mi ikinishika, anywhere does
have you finished your homework, no teacher
hii mkwanja wameificha, ndio maana sometimes mi huichukua cha lazma
K Force mawarrior mistari ka sly imeguza ngozi
ikiwa ngori iwe ngori, Keyvo haogopi
hao masnyper wametupima, kwani ni vipofu
mbona hatuanguki, music planted
wanajump out of the fryng pan into the fire
na still I'm the hot one in here
CHORUS LYRICS:
Ka we ni soldier piga saluti nao
na kama tuko pamoja piga saluti nao
Ka we ni soldier piga saluti nao
na kama tuko pamoja piga saluti nao
VERSE 2 LYRICS:
I come through everytime I rhyme
never been blured with bruise and damn lies
I rhyme to pass time
they think they hot yet they cant introduce the mind
I make amateures of rappers when I rhyme
you ain't gotta have a prior na, to notice that I n' I is the most high
most decorated rapper of all time
and Hiphop is dead yeah I murdered it
try to spit it on, rappers get s**ted on
and if you wanna bring it on yeah we can get it on
I can spit it off till dawn, I ain't gotta take it home
I escape the noise
CHORUS LYRICS:
Ka we ni soldier piga saluti nao
na kama tuko pamoja piga saluti nao
Ka we ni soldier piga saluti nao
na kama tuko pamoja piga saluti nao
VERSE 3 LYRICS:
Akililia wembe mpe mtoto panga
ajue kabla vita lazma kwanza aone mchanga
ukishinda ndovu kunya huwezi pona msamba
umeamka asubuhi, amka enda shamba
mvivu hana chake so kilicho chako capture
skiza nikueleze hadithi ya rapstar
nikidevelope ilichukua time game kuimaster
piga tizi andika skiza K-Shaka
ka mikono ya Ben Carson nafeel gifted
na preach verse tu reality finya replay
listen, make decisions life inagive way
nachukulia vikwazo ka cliche
fire man ka mwizi
na burn track leta maji kuiplay
K Force number nane ndani ya hii game
msela usiskize, hii she ni ya shize
ka hatushare damu, niite nani
CHORUS LYRICS:
Ka we ni soldier piga saluti nao
na kama tuko pamoja piga saluti nao
Ka we ni soldier piga saluti nao
na kama tuko pamoja piga saluti nao
Ka we ni soldier piga saluti nao
Ka we ni soldier piga saluti nao
Post Views: 172