Juliani – Hello Lyrics
Verse 1
niko pregnant na life na kwangu kila siku May 1st
Labour Day
hata ka cheque ina zero moja kama degree celsius
aliniambia ni-pay first
ndio aniletee toothpick
nani amekuambia kwamba kwa meno ni evidence
in case nikatae kulipa mtapitia heat ka sushi
pressure ya mwanafunzi mshe ame-late
breadwinner amekuwa the late
na hiyo ndio imekuwa story of the late
hapa kule P-Unit
enda Hilton chini hata Bata zina bullet
si safe
ama niaje
Chorus
hello (Hello)
hello (Hello)
busy signal hello
mbona mnanilenga mzeiya
lakini nini hiyo inaendelea
hello (Hello)
hello (Hello)
busy signal hello
mbona mnanilenga mzeiya
lakini nini hiyo inaendelea
Verse 2
Manchester Arsenal
nikioa ndoa ntaongea story ya ball
tuwache hapo kwa hustle
na-set up alarm clock ya jogoo
natafuta ya ku-bite ka Apple kwa logo ya MacBook Pro
nika-top up speaker kwa kichwa
nimevaa high waist
but longie inavutwa chini na weight ya wallet
mimi na ye Yesu
napanda juu ka credits mwisho wa movie
that’s why na-do this
that’s why na-do this
Chorus
hello (Hello)
hello (Hello)
busy signal hello
mbona mnanilenga mzeiya
lakini nini hiyo inaendelea
hello (Hello)
hello (Hello)
busy signal hello
mbona mnanilenga mzeiya
lakini nini hiyo inaendelea
Verse 3
hakuna hapendi kupendwa
naskia mistari ikisemwa
mamanzi ni swag tu
wanapenda machali machali ni swa-gger
wanapenda mamanzi tu-party tu-carry somebody from haree for more party
at home
sexual immoralities
and you call this love, what a lie, what a lie
fly, all over the world see
the word love has become a diss coz of lust
ni loss
we need to go back to the first love
Jesus
true love, true love
if you’re there and you know say Jesus
if you’re there and you know say true love
Chorus
hello (Hello)
hello (Hello)
busy signal hello
mbona mnanilenga mzeiya
lakini nini hiyo inaendelea
hello (Hello)
hello (Hello)
busy signal hello
mbona mnanilenga mzeiya
lakini nini hiyo inaendelea
Outro
nipulize vuvuzela
kama hunisikii…