Jua Kali & Sylvia – Maneno matamu Lyrics
Verse 1
Maneno matamu, vile leo nakukuta ni raha,
Ata ka uja wahi sikia najua itakubamba sana,
Pole pole, na ulisikia kwa radio jana,
Ai jo, ju wasee waliona hapana,
Sikieni hii ngoma ya maneno matamu,
Ya mshi ako karibu lakini bado yuko mbali,
Ana sikia poa, raha zake zikigonga hivi ndio kali,
anasikia kutoka kwa mguu hadi masikioni,
ana jua kujitingisha kwanza hapo kiunoni,
ana mesea kwa nini ana mike mkononi,
yeye ni ka fundi aki katata kazi hivi jo, nyi hamuoni, yuko masaa,
na kama si we, anapenya kwa mtaa,
anasikia kwa radio nab ado anakutibu,
kaa juu, kijana nita kuharibu, ama uko na singe hata si sikii aibu,
ngoma ikichezwa kwa radio katika,
na ka unadough,shujaa we jionyeshe umefika,
maana matime yuko nyuma yako, hata ndiye huyo amefika,
Chorus
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
Verse 2
Muna andikia ngoma nani? Calif records hizi ngoma si utengenezea nani?
Kabla si ja endelea, ka unanipenda uko wapi,
Sure, sure kama unapenda jua cali, we ni mkali,
Poleni jo, si kushed muziki ya Kenya, manzi nikikushika vizuri jo hakuna kenya,
Kama ingekua, tungekua tunaimba sahii,
Kwanza nikifikiria vizuri naimba nini sahii,
Unauliza ni nini nataka, we jua tume kuja kunyamazisha ngoma yoyote mbaya,
Unauliza mbona genge zinafika huku na zetu hazitoki, ni mbaya,
Tafuta kazi ingine, niko na keja nitakuandika ka watchi,
Na kuna studio huko ndani, zenyu mlisha funga hamna ganji,
Naeza kupigia nguo pasi, sikuhizi mi upigia watu paji,
Na choma kaa jua ya saa sita, niko hapa for ever sa potea,
Ngoma mpaka na sikia kutapika, hamuezi perform ka huja vuta ba-ba,
Huwezi andika ngoma mbaya ka ujavuta ba-ba,
Mi niko juu, ona vile na kubanza, ngoma kukata, si uniandikie bwana,
Hapana, hapana, huwezi kunisimamisha, labda usimamishe huyo kwanza,
Nonini yuko, ju ju kali itaendelea mbele,
Clemo yuko, ju ju kali, itaendelea mbele,
Stero pia yuko, jua cali itaendelea mbele,
Twa chukulia hii kitu serious si mchezo, ka bado unacheza tia zi ngoma leo,
Endeleeni kuota, vitu tunagonga soon a bado tu naendelea kusonga,
Maisha yako utaendelea kuota,
Ni saa ngapi? (fala wewe hauna mbota)
Chorus
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni nina ruka,
Verse 3
Taa ndio jina yangu, ndio yako lazima una pandishia,
Wataja jua gomba pia, hao wakiwa kwa base, ngoma yangu kwa radio na jisikia,
Ngoma yenyewe kwa club inaingia,
Kwa chini, inabamba ni ka kugongwa mara mbili,
Maneno matamu, na kuparara, kichwa mbali,
tuko bado, na si hukua hapa,
Ngoma yenyewe inavuta, left, right , tingisha hizo rasa, nika unazitupa,
Chunga usigonge mse ako kare, ju utapigwa na chupa,
Alafu manze vita,
Hii ngoma ni ya kufanya safi, yaani hii ngoma ni ya kufurahisha,
Msishinde mki bonga juu ya maisha,
Msishinde mki gombana, juu hii ngoma ni tamu na pia,
Nyi tulizeni, kuna uma naonea,
Ju mi ni ka paro, watoi bado mi na walea,
Lakini bado mi ni mso kwa ngoma, mi ni maneno matamu,
Hii @#$%, bado ni nachoma, bado nina choma!
Chorus (till fade)
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni na ruka,
machali leo hamta lala, mamanzi msha amuka,
neno tamu na jua cali, hapo club mi ni nina ruka,
Post Views: 221