Jua Cali & Nonini – Ni Ukweli Lyrics

Verse 1 (Nonini)
Calif records ukisikia hii label jua kuna chafuka,
Hii sauti ya mthii lakini najua msha shutuka,
Mnajaribu kutoroka mkono zangu refu na kuvuruta,
Style yangu nome ukijaribu kucopy unagonga ukuta,
Unajivurusha chest mbele yangu, mi sitaki vita,
Kasugue meno jo, mdomo yako inanuka pipa,
Sheng natumia kubamba watu wote huku Africa,
Si toki kwa nyumba kwa sababu conkodi watanishika,
Chuo nikiandika ngoma si mlikua mnanicheka, niko na slasha kwa mkono,
Wacha kuhepa mi ni ka mwizi nina mbio sana,
Sikiza ngoma beshte kuna message ya maana,
Ati mnacopy ma ryms za states, mtaweza, ati mo, ama ni joe,
Wewe una love tena sana, na sana, kwa hivyo wizi acha,
Ni venye co-orparate Kenya wame steki, sahi ungekua kortini ukiface mashtaka,
Na pesa ya bond hauna, mi ni judge miaka kumi na kupa, three stokes of the cane, ukumbuke hakuna chakula,
Kwanza huko ndani, uko cel inanuka, na inatupa ka mtu ame @# ikabaki mfupa,

Chorus
Mi nakuambia beshte, tulia sikiza,
sikuji kwa ubaya, tabia mbaya acha,
Beshte ulijidai ati sisi hatufai, umeshikwa uko ndani,
Wataka calif wakutoe,
Kaa uko ndani na ukonde, beshte na usote,
na ukonde, beshte na usote

verse 2
usha anza kuwika mapema kabla si jatumana,
sister yako ni manzi yangu lakini anasema mimi na wewe tunajuana,
mi natoka calif, sijui mtaa yako,
kitu tuonane kwanza, nani atazika mwingine kwanza,
sitafuti, chini uko kabisa,
kaa ni vita jua utabwakwa kwa giza,
beshte zako wako wapi, mbona wamehepa,
watoka kwangu wewe wajikuta kwa jela,
huku ni kiandika ngoma zangu asubuhi na mapema,
kitu inawasumbua tu ni @#$ , teteza,
quality iko sawa lakini sijui ka bado itacheza,
nafikiria nini nonini, wacha niache kuteta,
ngoma zangu ni jua kali, kwani nini,
ukisikia tafadhali cheza hivi, mkono na mguu tafadhali usisahau kueka hivi,
kama nimetuma na comp record kwa mp3, memory imejaa delete hizo ngoma za KMC,
usiguze ya Nonini,

Chorus
Mi nakuambia beshte, tulia sikiza,
sikuji kwa ubaya, tabia mbaya acha,
Beshte ulijidai ati sisi hatufai, umeshikwa uko ndani,
Wataka calif wakutoe,
Kaa uko ndani na ukonde, beshte na usote,
na ukonde, beshte na usote

verse 3 (Jua kali)
Jua hakuna kitu na penda ka sauti yangu,
hakuna watu nawapenda ka familia na beshte zangu,
so ka unaniringia vibaya , jua nina mwili mara tatu,
we unanichezea dance na macho zako, wewe una ona ni ki @#$ kwako,
kama uko kwa keja we unaona nikiingia kwa kitanda yako,
we we, unategemea baba yako? Toka inje beshte tafuta pesa yako, toka nje beshte katengeneze nyumba yako,
hakuna kitu natoka nayo hapa, hiyo chakula tamu basi hiyo ndiyo supper yako ya mwisho,
na una bahati sana nitakuacha uvute hiyo kiko, e una unavuta yote , bakishia,
nini pelekea Jemo nusu mimi kesho siko, na enda majuu nitarudi baada ya wiki mbili, au sio,
si nimekwambia nitarudi wacha kulia,
enda kwa bedroom ukaniletee krati mbili za beer,
ukipenda unaweza kunywa na mabeshte wako pia,

Chorus
Mi nakuambia beshte, tulia sikiza,
sikuji kwa ubaya, tabia mbaya acha,
Beshte ulijidai ati sisi hatufai, umeshikwa uko ndani,
Wataka calif wakutoe,
Kaa uko ndani na ukonde, beshte na usote,
na ukonde, beshte na usote

Verse 4
Huyu ni viki, kutoka huko south B,
Naeza ra hausikii, ka kitambo vile nilikua na Clemo haii,
Tukifukuzwa na mamanzi,
Niko kwa studio, macho zangu red lakini sijavuta mkwanja,
o.k kidogo tu, kwani unafikiria nilivunja aje hii mguu,
si nikufukuzwa na makarao huko buru, na hiyo ni ukweli,

You cannot copy content of this page