Jua Cali – Karatasi Lyrics

Verse 1
Nimezaliwa me ni msafi natoka kwa mashini
Vidole kadha zinanishikilia vizuri naekelewa chini
Tuko wengi kwa hivyo kila mtu anapewa number yake
Ikishaandikwa kwa mgongo kila mtu anashika njia yake
Wengine wanaenda kortini kutoa watu kwa noma
Wengine wanachukua kardi yako wanakuambia watakuokoa 
Me ni mfiti nipate kila mahali
Pia me ni mbaya ukinitaka lazima ufanye kazi
Tumbo inakuuma nishike ushibe
Confidence manzi wowote umskize
Pewa round kadha me talipa
Asubuhi yake nikute pia nazunguka kwa kanisa

Verse 2
Na ni mgonjwa nitoe uone sai ukipona
Nilipata E nipate uni nikisoma
Nitafute ama unitumie ka loan
Siko?miezi nne basi ka home
Barabara kazi ndogo zinatengenezwa
Baada ya miezi tatu shimo zinaongezeka
Na manouvre na matatu nilinunua jana
Nageuka ushuru profits zako zinapungua sana
Natoka kwa mkono moja nikiruka kwa ingine
Natoka town moja naingia ingine
Me ni mfiti niko kila mahali
Pia me ni mbaya ma M.P wananiongezea mali 
Utapata aje passport na hauna kitu
Utapata aje I.D na hauna kitu
Shika fifty pigia council wa city simu
Mwambie watu wanachafua town na makaratasi usiku

You cannot copy content of this page