Jua Cali – Go Get ‘Em Lyrics
Verse 1
Juacali nimepanda ndege nimekuja Kampala
Nawashika sai na Young nick flow yake inanibamba sana
Lakini me tatumia Kiswahili ndio mnielewe haraka
Verse 2
Natoka mtaa ingine haifai
Watu wanapenda miti kushinda Maathai
Vunja muguka ka bado meno iko
Tulia piga kahawa skizia na kiko
Ma saa tisa handas inashuka
Pu pu pu unateuka uku uki shshshsh…
Usingiza imepotea geuka ka mshakiki
Ubao ndio hio kula ugali na kabichi
Verse 3
Kwa Kiswahili inamaanisha enda uashike
Hizo ndio orders nilipewa na nimekua nafanya hivyo miaka ka nne
Bado napenda hii kitu mziki
Ka ule jamaa anaitisha barley yake ya Pili
Nisaidie kustagger ka unaeza
Tembo ya kampala ndio siku hizi napewa
Sija loose focus chali naeza smama ata na mguu moja
Sija loose focus ata ka nimeandika hizi lines vibaya neaza zisoma poa
Nipeleka hapo nyuma kwa dj nataka kukojoa
Rudia hio ngoma tena ama tutakosana
Juu siku hizi naona unanitafuta sana
Tunaongea poa nikipiga corner hivi ushaanza kunitukana
Ampendi kuona ampendi kiskia
Najua itawa bamba vi major ile siku tadidimia
Mbio zangu hazitaishia ukingoni
Museveni ataniachia hio kiti siku zake za usoni
Okay Kampala Nairobi Bongo