Jua Cali ft. Sylvia – Nipe Asali Lyrics
Chorus (Sylvia)
Jua Cali
Nipe asali
Jua Cali
Nipe asali
nipe asali
nipe asali
Verse 1 (Jua Cali)
Tafadhali tupa vumbi kwa hewa uone jina yangu
Juacali sauti inatoka kwa tenje yako ni tamu
Ma beste wangu wote nilisoma nao jamu
Mkishaskiza hii ngoma mkamu
Muone vile me ufanya hawa ma mc wa udu
Nawapiga mdomo mpaka wanakua bubu
Beste wacha kuringa sababu umevaa fubu
Tulia ama takupeleka speedy kwa mungu
Unajifanya mjuaji
Na kichwa yako imejaa maji
Ati siku hizi hauezi kula mboga na ugali
Kwanza vile we uroga huh! ni funny
Si mbaya siku hizi naskia ukona manzi
Halafu unaambia kila mtu mtaani
Hatuezi kukaribia sababu ukona ganji
Ukihama wewe! Najua utasahau watu mtaani
Ukienda majuu wewe! Najua utasahau watu mtaani
Lakini kabla haujaenda takuchoma na jua kali
Unaskia jo takuchoma na Jua Cali
Jua Cali jua Cali ah ah
Chorus (Sylvia)
Jua Cali
Nipe asali
Jua Cali
Nipe asali
nipe asali
nipe asali
Verse 2 (Jua Cali)
Sana siku hizi
MC ukiulizwa nani alikuchapa sema ni mimi
Ukiulizwa nani alikushikashika sema ni mimi
Unaskia
Pole sana baby gal sina pesa ya kukupeleka Steers
Utaniwacha nini?
Utanitia zii nini?
Me ni mtu wa nguvu kwani haujui
Wacha nione hio uso vizuri toa buibui
Miguu zako ziko
Mi ni mgonjwa ukiniangalia macho zako ndio dawa
Ngozi yako tu sh sh sh! Laini taigusa after kunawa
Kuja tuka
Maji si ya moto lakini ni sawa
Jo kweli kuna manzi mwengine
Yukona mwili wazimu ka hio yako sidhani
Inatubamba pamoja tamu ka asali
Saa ka saa hii siezi penda kuskia story za Cali
Nakitoa nguo
Nipeleke pole pole jo utapasua hii shati
Siezi tembea uchi nje kwani haujui nje ni kali ni kali
(enyewe Jua ni Cali,imewaka mpaka na-feel thirsty,
shika basi hii pesa ya soda,staki soda nipatie maji)
Chorus (Sylvia)
Jua Cali
Nipe asali
Jua Cali
Nipe asali
nipe asali
nipe asali