Jimwat a.k.a Jimwizzy – Fall in Love(Sijui Unaonaje) Lyrics

Jimwat a.k.a Jimwizzy – Fall in Love(Sijui Unaonaje) Lyrics

Intro;
(I’m ready..,’Ah!’.., Niko tayari..,
Yes I’m ready..,’Yeah’.., niko tayari)
(To fall in love).., Whoa! Na nani?
(To fall in love).., Ati nani?
(To fall in love).., Nani?
(With You)..,Na wewe..,Niko Tayari
(With You)..,True Story hii..,Jimwizzy

Nimekuanga hardcore kimapenzi
Me kukaa na dame..?nilikua naona hii ni ushenzi
Siku ya kwanza tuki’ meet..,ni msawa tunalala
Baada ya *(hmmm)*..,anakua m’sour ki’maziwa lala
Saa wiki za kwanza namuimbia mpaka lullaby
Baada ya wiki kadhaa..,namuacha tu akilala-Bye!
Na’go hadi December..,siwezi m’remember..,
Hawakua waki’stick kwa kichwa..,’kwani ni kilemba?’
Ilikua tu’ ‘Hit-And-Run’..,ka’ accident imepita..,
Au …….,‘Eat-And-Run’..,ka’ kukula bila kulipa
Lakini love hupata mtu surprise ka’ ajali
Juu saa hii nimekunoki mpaka niko tayari..;

(Ku); Fall in love..,
(Ku); Fall in love..,
(With You..!)

(Sijui Unaonaje? Eh?)

Me ni Smooth-operator; kama Sade’
Pia Smooth-penetrator; kama mshale
Saa jua huu dame tangu nimuingize box..,
Hawezi kutoka..,nimeifunga na lock(Click!)
Saa me hukaa tu’ kando naona ma’schemer..,
Wakikupeleka zile date; Candle-lit-dinner
Mafala/ Wana’smoke mshahara/ ka sigara/ 
Wanaigeuza hasara/ Ikifika ni time ya kulala/
Unaenda SMS sending; ”Baibe nikujie..,”
Wanabaki pending..; ka SMS iko kwa njia
Na haitawaifika..,Hawatawai kupata
Juu kwangu ulishajipa..,na sitawai acha..,

(Ku); Fall in love..,Si ata we unajua..?
(Ku); Fall in love..,Nime fall in love vibaya sana na wewe!
(With You..!)

(Sijui Unaonaje? Eh?)

Ok! Saa mpaka tunapanga vile tutaoana
Choka na hizi stress za ki’u’toi kuzozana
Ka’ tuna beef.., Si’ hui’settle kwa keja si kwa chief!
Na ka’ ni noma sana..,tunakua watalii
Tunaenda Maasai Mara..,tunajivinjari
Au Mombasa Raha..,tupo kwa Bahari
By tha time tunarudi tunashangaa..!
Tulikua tuna’argue juu ya nini..? ha-ha-ha;-)
Mapenzi tele..,Mingi ka’ mchele
Ime’stretch toka Lamu hadi Kondele
Saa jua huezi come kati-kati yetu ka’ Nairobi
Juu iliianza ka’ game saa imegeuka hobby..,

(Ku); Fall in love..,
(Ku); Fall in love..,
(With You..!)

(Sijui Unaonaje? Eh?)

(Ku); Fall in love..,Si ata we unajua..?
(Ku); Fall in love..,Nime fall in love vibaya sana na wewe!
(With You..!)

(Sijui Unaonaje? Eh?)

You cannot copy content of this page