Jerry Joe – Wanadada Lyrics
Verse 1
Dada mimi Jo na kupa miti na marapa,
Tukiwa tume relax kila siku mara hapa,
Muaminifu ka mkamba, nah ii ni ka kiganda, mashaka kila siku, na kupanda,
Tuna scream all night, jump all night,
Bump it, wayn it, show me love,
Bump it, wayn it, show me love,
You gonna show me love, show me trust,
Bump it, wayn it, show me love,
Nipe nafasi, nikupe moto ma,
Nipe kiasi, nipe maji ma,
Mambo leo, mambo kazi safi, safi,safi,
Nipe nafasi nikupe maji,ma,
Nipe kiasi, nipe maji ma,
Mambo leo, mambo kazi safi, safi,safi,
Vipi, mama, vipi dada,
Kabinti, ka chiki chiki di,
Uki kataa hiyo, kapacha,
Vipi kabinti, ka chiki di!
Chorus
Wanadada muna penda raha,
I say muna penda hepi,
Wanadada wa Nairobi,
wanadada wa Kampala,
wanadada muna penda hepi,
I say muna penda raha,
Wanadada wa kibongo,
Wanadada wa Mombasa,
Verse 2
njoo hapa karibu nikupe raha, njoo, uburudike,
muziki imeshika, just as tumefika,
shika na kuruka, blow up the roof, with the lyrics za kishua,
baibe, me ni Jerry Jo, tume come kuwashika,
kama una nifeel, get down kukatika, wika, kata,
shika mwanadada peleka side to side,
peleka left to right, back to the front,
kama hana boyfriend mupe noma noma vybes,coz leo ni furaha,
Jump and wyne to, nini wanadada munapenda kufurahi,
Jump and wyne,
Girl please will you be mine,
Will you be mine, take a while and wyne,
Chorus
Wanadada muna penda raha,
I say muna penda hepi,
Wanadada wa Nairobi,
wanadada wa Kampala,
wanadada muna penda hepi,
I say muna penda raha,
Wanadada wa kibongo,
Wanadada wa Mombasa,
Verse 3
Dada vipi, tuchore down, njoo tuwakilishe clicki,
Twaji rusha kwenye club na tulipi, ni vipi VIP, niko jiste,
Nashika kibao, same fifty,
BMP, girl them na mas**ti,
Gawon man, hii ngoma ni ya kifiti,
Watoto kichwa tuta fiti fiti,
Niko on the club, imeshona,
Ki celeb na madame hepi zetu,
Bumba, bounce, ndizo zetu,
We rock the party, manati na mabarbie,
Hii ni moja, club imeshona,
Hii ni moja, club imeshona,
Hii ni moja, club imeshona,
Hii ni moja, club imeshona,
Suda,suda sudaaaa,
Suda,suda, sudaaaaa,
Suda,sudam sudaaaa,
Na ngooooo, Suda,suda sudaaaa,
Suda,suda sudaaaa,
Twende, Suda,suda sudaaaa,
Na ngooooo
Chorus
Wanadada muna penda raha,
I say muna penda hepi,
Wanadada wa Nairobi,
wanadada wa Kampala,
wanadada muna penda hepi,
I say muna penda raha,
Wanadada wa kibongo,
Wanadada wa Mombasa,
Suda,suda sudaaaa,
Suda,suda, sudaaaaa,
Twende, Suda,suda sudaaaa,
Suda,suda, sudaaaaa,
Na ngooooo, Suda,suda sudaaaa,
Suda,suda sudaaaa,
Twende, Suda,suda sudaaaa,
Na ngooooo
Post Views: 240