Jemimah Thiong’o – Hakuna Lyrics
Verse 1
Hakuna linalomshinda,
Yesu mkombozi wangu
Soma Bibilia utaona,
Yote Bwana Yesu anaweza
Hakuna lililo ngumu kwake anaweza
Chorus
Hakuna, hakuna,
hakuna linalomshinda
Yote bwana yesu anaweza
aliwatoa jaso makuhani
Na wazee hekaluni
Verse 2
Magonjwa yakulemea,
Yesu aliponya hata ukoma
Vipofu viwete na viziwi
Bwana yesu aliponya
Isitoshe alifufua lazaro anaweza
Chorus
Hakuna, hakuna,
hakuna linalomshinda
Yote bwana yesu anaweza
aliwatoa jaso makuhani
Na wazee hekaluni
Verse 3
Ulevi umekulemea,
aligeuza macho kuwa divai
wapoteza macho kwa kumikumi,
waelekea poteza maisha
Ukimwamini hautaona kiu ya pombe
Chorus
Hakuna, hakuna,
hakuna linalomshinda
Yote bwana yesu anaweza
aliwatoa jaso makuhani
Na wazee hekaluni
Verse 4
Hakuna linalomshinda,
Njaa kwa yesu sio tisho
Aliwapasha elfu tano
kwa mikate miwili
Kabaki kuokota elfu saba
Chorus
Hakuna, hakuna,
hakuna linalomshinda
Yote bwana yesu anaweza
aliwatoa jaso makuhani
Na wazee hekaluni
Verse 5
Hakuna linalomshinda,
baada ya kutufia msalabani
Aliingia kuzimu yesu,
kanyang’anya shetani funguo
Kampa ibilisi tetemeko kubwa sana