Jemimah Thiongo – Amenipanda Lyrics
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Bwana amenipanda, kwa mikono yake baba kando ya mito yenye rehema na Baraka,
Kuni palilia baba, sikosi mbolea maji,
Naishi niki amini siwezi nyauka,
Nimepandwa e-e-e!
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Kweli baba wa rehema, amenipanda mimi, Baraka za nifuata kokote niendako,
Amenipa huai, akalinda afya yangu,
Ndiposa na shuhudia sifa za alitye nipanda!
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Imani ya waokovo hushinda majaribu,
hiyo ni baadhi ya mito niliyo pandwa kwayo,
Mambo yangu yote baba, hupanga kwa utaratibu,
Kwamaana anijali, aliye nipanda!
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Bwana asema amenipanda mimi,
kando ya mito yenye maji mengi,
Hakuna juu mbinguni, wala chini duniani,
anaye mshinda mungu mumba mpanzi wangu,
Hunizunguka mimi kwa damu ya mwanawe,
hunilinda sana, sipati madhara kwani nimepandwa!
Post Views: 335