Jayels Family – In My Heart Lyrics


Chorus

In my heart
In my heart haaaaaa*5

Verse 1 (JeanTheHustla)
Mana yange weee
oh mungu wangu tupatie roho za utu
ningelia lakini kulia hakika sio mhimu 
sikizeni kuhusu haa maisha dunia humu
shida tupu
abortion imekuwa ni kitendo cha kila siku 
watoto wanatupwa kwa mbolea kama uchafu
je mwaona raha mkimwagha hii damu 
hii damu 
hii damu 
wacheni kuwua hawa watoto pia ni binadamu 
ndio naelewa kipenzi pia ni kitamu
usikubali dada ka kuzaa kwako ni tabu 
kulea ni tabu
kwa wale hawajui family planing ni mhimu
utaelezwa mengi ata kutumia condom
waschana vijana wenza maisha hii ni ngumu 
uspopata mimba labda utapata hii mdudu
hii mdudu
hii mduduuuuuuu 

Chorus
In my heart
In my heart haaaaaa*5

Verse 2 (SpaxtheRoyal)
maisha ni mhimu kwa yeyote mwana damu
tumboni myezi tisa akazaliwa kwa machungu
bila chakula bila mavazi na tena uchi tupu
namshukuru mola kwa kutupa yake nuru
ituangazie mchana na usiku
wazazi waliposota marafiki watukimbia
lakini nilitumaini wakati utawadia
tuishi kwa amani na pia kufurahia 
pesa husemekana ni mauwa ya dunia
ambayo huchanuka na mwishowe kuanguka
kuanguka, kuanguka
LISTEN TO THIS AFRIKAN INTERPRETOR 
mimi kiumbe kidogo nimeshindwa ni punguwani 
lakini nilitumaini wakati utawadia
tuishi kwa amani na pia kufurahia
kile nataka 
kile nataka si lazima iwe
kile naimba 
kile naimba si lazima iwe
ndio nasema 
ndio nataka ni lazima iwe.


Chorus
In my heart
In my heart haaaaaa*5

You cannot copy content of this page