Jahmani & Jua Cali – Kiswahili Lyrics
Verse 1
once again listen the local teenager
ye-yo, ndani ya beat ya Clemo
no haters can stop me now
nikiwa hewa keroro nacheka nao
juu hii ni hip hop, beat iki-drip drop
koroga laini, take me straight to the tip top
slow down y’all, listen to my flow now
pop the bottle back again, yo so bring it back now
westie ukifika tuma salamu
ka una hamu basi wee shika kalamu
na make sure unialike kwa karamu
juu tuko pamoja, pamoja tu kama damu
mi siku hizi mi na-roll na clique yangu
hata ka ni muziki, siuzi moyo wangu
T.A alisema get a note
watakubali kwa umbali juu haunijui
Chorus
ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
na najua ntapata, Kiswahili yangu ni mambo yote
hapa hakuna chali hugeiwa…
na najua ntapata, Kiswahili yangu ni mambo yote
hapa hakuna chali hugeiwa…
Verse 2
salutations kambi ya Mau Mau
nimeendelea wanamuziki wa tafsiri fanya mambo
ma-creation ni ya kila mtu in the nation
everybody every population
watu wanashangaa na huyu kijana
awache kuroga kafukuza wasichana
I like girls, like ladies, like women
light, dark, juicy, sexy and nice women
si siri, mi ni fisi, madame hunikwachu
lakini ngoma ni addictive ka mbachu
anza gari na ukanyage mafuta
lakini chunga usikagonge ukuta
take money money,
take money money money
bounce to the beat with Jah mani mani
mi niko eighteen, high esteem
staki kuamini coz this is like a dream
Chorus
ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
na najua ntapata, Kiswahili yangu ni mambo yote
hapa hakuna chali hugeiwa…
na najua ntapata, Kiswahili yangu ni mambo yote
hapa hakuna chali hugeiwa…
Verse 3
Verse three nina track na Jua Cali
alitoa maneno makali nikaifanya ngoma kali
niaje jo mi nawapa respect
Eastleigh ndio mtaani nilizaliwa jo
tangu zamani nilitaka beat ya Clemo
nipe zeze kama TID na Jemo
kama unapenda flow, you can call me mister
lyrical twister, Katrina man in my system
shika maji si uwachane na juice
Jahmani is here, this is front page news
paid my dues with Calif, you’ll never lose
vita ya Clemo iko juu ya twenty twos
sa nimetoka California
mji ya wasee, mji wa genge
Jahmani is the new kid in town so
east hadi west everybody get down
Chorus
ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
na najua ntapata, Kiswahili yangu ni mambo yote
hapa hakuna chali hugeiwa…
na najua ntapata, Kiswahili yangu ni mambo yote
hapa hakuna chali hugeiwa…