Jagas feat Tariko – Sijali Lyrics

Intro
Ni Jagas ama Rafuok
Tariko ndani alright

CHORUS LYRICS:
Sijali kwa sababu wee (wanipendaa)
natena moyoni kweli (wanilinda)
Mungu baba mi najua kweli (ooh! Ooh! Ooh! Ooh!)
Na tena wanijali

VERSE 1 LYRICS:
Hivi sasa hivi kweli nishakubali
Kuwa hakuna mwingine maishani
Kama kawaida kweli
Unanilinda, nilinda, nilinda
Kitambo sana maishani
Singeweza jua kuwa niwe unaponya
Nikapata kwamba kweli nikikutafuta
Uko kando yangu karibu nami ndioo…

CHORUS LYRICS:
Sijali kwa sababu wee (wanipendaa)
natena moyoni kweli (wanilindaa)
Mungu baba mi najua kweli (ooh! Ooh! Ooh! Ooh!)
Na tena wanijali

VERSE 2 LYRICS:
Nasi wanao twakuhitaji
Uweze kutuokolea tupate mengi
Kama si mapenzi yako hatunge kwa hai
Ndipo tena maishani
Nishakubali kuwa niwe unaweza
Bariki na kulinda
Jehova nisi pia na rafa
Nakuhitaji vitani mashakani ndioo…

CHORUS LYRICS:
Sijali kwa sababu wee (wanipendaa)
natena moyoni kweli (wanilindaa)
Mungu baba mi najua kweli (ooh! Ooh! Ooh! Ooh!)
Na tena wanijali

VERSE 2 LYRICS:
Wanasema manga wass
Kila kitu juu bob iko down
Ku abudu pesa na walio nazo
Kutu fanya kumsahau mola wetu
Anatupenda aaahh
Gizani we ndio light, strength kwa my life
Bila we mi sioni aaahh!
Kwa kuwa we ndio life
Na after life bila shaka kwa mashaka
umenitoa mi aaahh!

CHORUS LYRICS:
Sijali kwa sababu wee (wanipendaa)
natena moyoni kweli (wanilindaa)
Mungu baba mi najua kweli (ooh! Ooh! Ooh! Ooh!)
Na tena wanijali

You cannot copy content of this page