Fundi Frank & Jipya – Kenyan Lady Lyrics
Chorus
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
Verse 1 (Fundi Frank)
natafuta dame
yule sitam-blame
mwenye qualities za madame wote wenye fame
yaani ma-celeb wa Kenya ndio mi na-claim
wale wame-stand out na wamejenga name
dame ana tabia timam
si wale b***hy
tena tam tam tam ka Tichi Nyasani
haonekani kwa bar kuliko kanisani
honey flani na bibi flani ka Pinky Ghelani
ana hadhi ya kuvutia watu
CV ya E.V.E , Wahu na Tatuu
a bit easy, a bit crazy, m-conscious ka Nazizi
kumpata si easy
natafuta kichizi
Chorus (Fundi Frank)
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
Bridge (Jipya)
awe na hizo ma-look
ametafuna ma-book
na ni lazima ajue ku-cook
awe na hizo ma-look
ametafuna ma-book
na ni lazima ajue ku-cook
Verse 2 (Fundi Frank)
nataka dame ana say
ka Sanaipei
anapopita popote watu attention wana-pay
ana confidence intelligence na
bonge la figure
ila anapenda piga ka Sheila Mwanyigah
asiwe mrefu asiwe mfupi excess
na awe mdomo chap chap kama vile Cess
awe m-sharp na humour kiboko
ani-touch na kila line ki-Caroline Mutoko
staki kasheshe, sitaki wa kumshuku
nataka mtulivu bila wivu ki-Henrie Mutuku
lady lovely, likeable like Lorna Irungu
sichoki kutafuta, nazidi kumwomba Mungu
Bridge (Jipya)
awe na hizo ma-look
ametafuna ma-book
na ni lazima ajue ku-cook
awe na hizo ma-look
ametafuna ma-book
na ni lazima ajue ku-cook
Chorus (Fundi Frank)
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
Verse 3 (Fundi Frank)
nataka niwe guitar naye Suzanne Owiyo
vidole vinidare naye a-enjoy kilio
awe bedroom bully, ajue shughuli
macho mix ya Kasavuli na Wayua Muli
miguu Muthoni Bwika, voice Mercy na Talia
accent iliyotulia ya Olivia na Italia
nikiwa naye watu waweze kumtambua
coz ana face famous ka Catherine Wambua
adunge ma-design sure
anavyo-shine
atetemeshe ma-teenie anavyojiamini
hairstyle moto na ku-match juu chini
when I’m through ni awashe raha kama nini
pole sana ka nimekusahau
si kwa ubaya, wala si madharau
si ati una sura, au tabia ka nyang’au
ni song ndio yaisha, ningeku-mention angalau
Chorus (Fundi Frank)
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
natafuta dame mwaah (Kenyan lady)
akipita watu wana-shhh (Kenyan lady)
nikiwa naye nifurahi
because watu wote wana aiyaiyaiyaiyaiyaiyai
Bridge (Jipya)
awe na hizo ma-look
ametafuna ma-book
na ni lazima ajue ku-cook
awe na hizo ma-look
ametafuna ma-book
na ni lazima ajue ku-cook