Florence Mureithi – Omba Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
Jethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe
Uokoaji yako na yangu kampa nguvu Akashinda
Jethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe
Uokoaji yako na yangu kampa nguvu Akashinda
CHORUS LYRICS:
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Dada omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Ndugu omba, omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
VERSE 2 LYRICS:
Mtafute Bwana Apatikanapo, Umuite sasa Yukaribu
Asema bwana unapomuita, hakika atakusikia
Mtafute Bwana Apatikanapo, Umuite sasa Yukaribu
Asema bwana unapomuita, hakika atakusikia
CHORUS LYRICS:
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Ndugu omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Dada omba, omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
VERSE 3 LYRICS:
Omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu
Usimame mkamilifu mbele za Bwana daima
Omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu
Usimame mkamilifu mbele za Bwana daima
CHORUS LYRICS:
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Dada omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Ndugu omba, omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Tuombe, omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Wakenya, omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Tuombe tuombe, omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Post Views: 442