Flora Mbasha – Maisha ya Ndoa Lyrics
Verse 1
Maisha ya ndoa ya fuanananishwa na safari ndefu,
njiani kuna mambo mengi,
utapita milima,pia na mabonde, yahitaji uvumilivu sana,
Jiepushe na marafiki ambao ni walafi, kwani hao wana chuki,
Nafsi,
Chorus
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda, ukanichagua niwe wako,Kukupenda sito acha, maishani mwangu wote,
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda, ukanichagua niwe wako,
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wote,
Nitakupenda uwe mpenzi,
Verse 2
Mke uwangu wa moyo, unanipa raha tele, tangu nikue sijaijuta,
Mume wangu wa moyo, nakupenda sana mpenzi tangu niwe nawe sijajuta,
Wewe ni chanzo cha amani, furaha moyoni tangu niwe nawe sijajuta,
Asubuhi kwangu ni njema, mchana mwema sana, jioni ni furaha kwangu,

Nampenda mpenzi wangu wa moyo, mimi ni wako, wewe wangu,

penzi wa moyo,penzi wa moyo!
Chorus
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda, ukanichagua niwe wako,
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wote,
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda, ukanichagua niwe wako,
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wote,
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda, ukanichagua niwe wako,
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wote,
Nitakupenda uwe mpenzi,
Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda, ukanichagua niwe wako,
Kukupenda sito acha, maishani mwangu wote,
Nitakupenda uwe mpenzi,
Post Views: 222