Esther Wahome – Yahwe Lyrics
Malaika wamwimbia wakisema hosana
Maserufi juu mbinguni wote wanamwabudu
wazee ishirini na nne wote wanamwinamia
Kila ulimi unakiri wewe ni Mungu
Yahwe ni Mungu wa miungu, Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu, Haleluya
Mataifa ya dunia yote yanamtambua
WAnadammu duniani wote wanamkimbilia
Tazameni mataifa yote yanamsujudia
Kila ulimi unakiri wewe ni Mungu
Yahwe ni Mungu wa miungu, Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu, Haleluya
Hata ndege wa angani wote wanamwimbia
Viumbe vyote vyenye uhai vinamshangilia
Hata wazee na watoto wote wamfurahia
Kila ulimi unakiri wewe ni Mungu
Yahwe ni Mungu wa miungu, Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu, Haleluya