Esther Wahome – Damu Lyrics

Sioshwi dhambi zangu, bila damu yake
Nahitaji kabisa, dawa ya makosa yangu
Ndiposa nakimbia pale msalabani
Haya initakase, damu ya mkombozi

Damu, damu, damu ya mkombozi damu
Damu, damu, damu ya mkombozi damu

Sipati patanishwa, bila damu yake
Hukumu yanitisha, ila hiyo damu
Ndipo namlilia, aliye mwaga damu
Sasa initakase, damu ya mkombozi

Damu, damu, damu ya mkombozi damu
Damu, damu, damu ya mkombozi damu

Sipati tumaini, bila damu yake
wema wala amani, pia na usalama
Ndipo namtazama, huyu mwana kondoo
Ili initakase, damu ya mkombozi

Damu, damu, damu ya mkombozi damu
Damu, damu, damu ya mkombozi damu

You cannot copy content of this page