Enid Moraa – Wewe ni Bwana Lyrics

Chorus
wewe ni bwana
juu ya mabwana
ufalme wako
wadumu milele

wewe ni bwana
juu ya mabwana
umetukuka
milele, amina

wewe ni bwana
juu ya mabwana
umetukuka
milele, amina

Verse 1
katoka juu
mbinguni
kaja hapa duniani
kamwaga damu
kanifari
ili nipate kombolewa
na nimeokoka
nimeoshwa dhambi
nimekuwa safi
ninakusifu
milele na milele
na milele

Chorus
wewe ni bwana
juu ya mabwana
ufalme wako
wadumu milele

wewe ni bwana
juu ya mabwana
umetukuka
milele, amina

Verse 2
majaribu yaja
shida nazo zaja
kila siku ndio
ni katika vita
adui hatasita
kunimaliza
nami nimeona mkono wa Yesu
msaada wangu
tegemeo langu
Mwamba imara
kwake nasimama
nimeweka imani
kwa yule aliye mwaminifu

Chorus
wewe ni bwana
juu ya mabwana
ufalme wako
wadumu milele

wewe ni bwana
juu ya mabwana
umetukuka
milele, amina

You cannot copy content of this page